Akija utamuona na mabango yake na takwimu nyingi anahangaika kumquote kila mtuKwa hiyo mpaka katikati au mwishoni mwa msimu ujao ndiyo tutamuona tena? 😃😃
Akija utamuona na mabango yake na takwimu nyingi anahangaika kumquote kila mtuKwa hiyo mpaka katikati au mwishoni mwa msimu ujao ndiyo tutamuona tena? 😃😃
Na walitunyima Watkins. Mchezaji wa 35m tumewapelekea 60m wakatubania. Wapigwe tu hao.Exactly ila kwa walivyoaminisha mashabiki na sasa hivi kinachendelea ni deals mbili tofauti
Nafurahi amepata timu ya kucheza kama chaguo la kwanza, ila sifurahii anavyofungwa hovyo.Ramsdale akilala anaziota clean sheets
🤣 tetea ni wakufananishwa 😁Makocha wao wakiperform mechi mbili tatu wanaanza kuwafananisha na Arteta. Shida hua inakuja kwenye consistency
Haupo serious. Unafanya nijiulize umeanza lini kufuatilia mpira🤣 tetea ni wakufananishwa 😁
Yuko sehemu ya hovyoNafurahi amepata timu ya kucheza kama chaguo la kwanza, ila sifurahii anavyofungwa hovyo.
Kweli. Angekuwa hata Brighton angeng'aa zaidi ya hapo alipoYuko sehemu ya hovyo
FA + community shield = tetea bonge la kocha 🤣Haupo serious. Unafanya nijiulize umeanza lini kufuatilia mpira
Kuna siku yule David Raya atazima pale katikati kama namba 6 Hilo linawezekana kabisa🤠🤠🤠....na wakiendelea kutuumiza Arteta atavaa jezi aingie mwnyewe uwanjani maana udambwidambwi bdo upo anaoArteta ana elements za kiuchumi za Wenger. Merino ni mid ila keshafanywa ST, hanunuliwi mtu
Hebu muangalie isakKuna mtu aliandikaga.sijui ni hapa au twitter. Aliuliza kwanini Arsenal haina utamuduni/ kawaida ya kusajili wachezaji ambao wapo kwenye form kama Gyokeres badala yake tunaenda kwa wachezaji plan B kama Isak?
Mimi kwa upande wangu ukiniwekea Isak, Gyokeres na Sesko, nitaweka Sesko first priority halafu nitaangalia mwenye gharama nafuu kati ya Isak na Gyokeres nimwongezee
Nadhani Arsenal tunahitaji zaidi forward ambaye yupo direct na aggressive sana kuliko hawa wa "kuupakapaka rangi mpira"
Labda kuna mkataba kati ya Chelsea na Arsenal sisi hatujui! Maana tunachukua sana reject toka ChelseaSteringiiiiiii, uyu jamaa arteta aliona kipi cha special, chezaji vivu, hawezi kupiga cross, hawezi kushoot, mbio hana siku hizi, inshort ni zigo la misumali.
Zubi na Rice wanaweza kuwa wanapokezana....idea ya Partey kuondoka mpk Sasa inaniweweseshaArteta kamsajili Rice na Kai idea ni kwamba Rice anakua Partey na Kai anakua Xhaka.
Kai akafeli hiyo role mwanzo kabisa ikabidi afosi awe ST. Kisha Rice akawa anatarajiwa awe Xhaka sasa, lakini kwa kudhani Partey anaishiwa akasajili Merino.
Kwamba Partey anaondoka anamrudisha Rice DM na Merino anakua LCM. Merino mpaka sasa hajatendea haki hiyo position jana kafosiwa kua ST kascore magoli 2.
Summer, Zubimendi anakuja this means Rice bado hajaweza kucover pale DM, notice pia kwamba bado replacement ya Xhaka bado hatuna. Saka atapona, atarudi LW. Nwaneri is good atacheza wapi? Afanywe LCM au agewe wing?
Yupo vizuri ila kwasababu Arsenal tuna ball playing players wengi, nadhani ni vizuri tungepata mchezaji mwenye profile ya kitofauti.Hebu muangalie isak
Ni complete package
Unatumia vigezo gani kusema Rice hajaweza kucover DM?Arteta kamsajili Rice na Kai idea ni kwamba Rice anakua Partey na Kai anakua Xhaka.