whitemoney
JF-Expert Member
- Nov 9, 2023
- 1,190
- 2,541
Wanasubiri siku tukitoa hata droo wajazane humu.Hawaji leo na shombo zao
Wanasubiri siku tukitoa hata droo wajazane humu.Hawaji leo na shombo zao
Chelsea inacover kama asilimia 75 hivi ya mshaharaHuu mkopo wa Sterling Mshahara wake analipa arsenal?
Nwaneri anapishana na Øde pale katiIla kile kipindi cha pili bwana mdgo Odegaard alikuwa kama iniesta hivi mchakamchaka tu....Mungu asaidie tuende hivi hivi mpk Bukayo na Martinelli warudi....hyu Nwaneri Saka akirudi aisee wamuweke hata pale forward atatufaa....mtoto ana balaa sana yule🤠🤠🤠
Kikubwa alete matokeo, anaweza kuwa amegundua kipaji cha nafasi.Arteta ana elements za kiuchumi za Wenger. Merino ni mid ila keshafanywa ST, hanunuliwi mtu
Ninacheka tuNaona hawa mijusi milia akina Labyrinth wameamua kuwapa mafisadi matumaini.
Wanachojua wale ni kutukamia sisi tu.
Mpira mpira mpira 😂😂Upuuzi mtupu. Siwezi kuendelea kuangalia hii mechi.
Maana kila napojiuliza goli linatokea wapi sipati jibu.
Hatutamuona Labyrinth 84 humu hii weekend kama ikiendelea hivi au kuwa mbaya zaidi kwao.Ninacheka tu
Hutamuona mpaka Arsenal ifungwe.Hatutamuona Labyrinth 84 humu hii weekend kama ikiendelea hivi au kuwa mbaya zaidi kwao.
Bado mapemaSasa Villa moto unazimika. Ipswich yupo hoi msimu huu na ana red na anamuongoza
Ameenda bure Arsrnal, hakuna fee na mshahara wote wanalipa ChelseaSteringiiiiiii, uyu jamaa arteta aliona kipi cha special, chezaji vivu, hawezi kupiga cross, hawezi kushoot, mbio hana siku hizi, inshort ni zigo la misumali.
Kwa hiyo mpaka katikati au mwishoni mwa msimu ujao ndiyo tutamuona tena? 😃😃Hutamuona mpaka Arsenal ifungwe.
Exactly ila kwa walivyoaminisha mashabiki na sasa hivi kinachendelea ni deals mbili tofautiBado mapema