Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,396
Hawa wachezaji sijui walikuwa na kazi nyingine uarabuni? Wote wamelegea
Sterling yupo vizuri ila ubaguzi wa Guardiola bado unamuathiri.Kwanini Sterling asinyimwe pass tu. F*cking
Ila kile kipindi cha pili bwana mdgo Odegaard alikuwa kama iniesta hivi mchakamchaka tu....Mungu asaidie tuende hivi hivi mpk Bukayo na Martinelli warudi....hyu Nwaneri Saka akirudi aisee wamuweke hata pale forward atatufaa....mtoto ana balaa sana yule🤠🤠🤠
Wanasubiri siku tukitoa hata droo wajazane humu.Hawaji leo na shombo zao