Bachelor OG
JF-Expert Member
- Aug 27, 2022
- 1,196
- 1,463
Yameanza kucheza rafu sasa
Both teams to score mkuu ila naona nyeto fc wanaruka tuUmebeti magoli? Mpe Nyukesto Ov 1.5
Weka hati ya nyumba
Hahahaha hapana mkuu hayo yanatoshaaBado 1
Haiwezekani kutokea 😂
Hii siyo kimpumu hii ni ile kwamba timu ikipaki basi Arsenal haitajua cha kufanyaHawa wachezaji wamekunywa kimpumu nini!??
Hayatoshi pakiti lazima iisheHahahaha hapana mkuu hayo yanatoshaa
Arsenal hawezi kufungwa goli zaidi ya mbili.
Amka mkuu utakunya kitandani
Ni sawa ila hazijazidi mbili 🥹