Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Waakati kama huu misimu 2 nyuma false hopers walikua wanaongoza ligi … basiii kwenye january transfer kama hii utasikia. “ mchezaji huyu asije ataharibu dressing room atmosphere ” saizi sizioni kabisa kauli kama hizo za dressing room atmosphere
 
Nyie ubwa golikipa lenu linanyeshewa mvua ya magoli, sijui barcelona waliona nn kwa hii lima😄😄😄😄
 
Waakati kama huu misimu 2 nyuma false hopers walikua wanaongoza ligi … basiii kwenye january transfer kama hii utasikia. “ mchezaji huyu asije ataharibu dressing room atmosphere ” saizi sizioni kabisa kauli kama hizo za dressing room atmosphere
Kwamba hali huwa haibadiliki? Kwamba huwa watu huwa hawaoni haja ya jambo fulani tofauti?
 
Screenshot_2025-01-22-08-15-32-304_com.twitter.android-edit.jpg
 
Leo dimbani tena ila kikosi kina doubts hiki. CL ambayo complicated unampa namba Kiwior na unamnyima Partey.

Mechi ya kupunguza gap unafosi Partey awe defender namba unamnyima Kiwior
 
Tiimu kubwa ikienda Sporting kutaka kumsajili Qwenda, wataambiwa hawauzi ili pesa iwatoke.

Wakienda West Ham watamsajili tena kwa £30mil tu.
 
Tiimu kubwa ikienda Sporting kutaka kumsajili Qwenda, wataambiwa hawauzi ili pesa iwatoke.

Wakienda West Ham watamsajili tena kwa £30mil tu.
United imemtaka dogo jina limenitoka wamepeleka 27 watu wamekaza wanataka 40
 
Back
Top Bottom