Kakumamoto
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,497
- 2,219
Myles Lewis Skelly
David Ornstein:Arsenal working on deal to sign Sverre Nypan from Rosenborg. No agreement or decision on 18yo midfielder’s future so situation open - but talks with #Rosenborg & player camp advancing as #AFC try to land Norway youth int’l. W/ @gunnerblog @TheAthleticFC
View: https://x.com/David_Ornstein/status/1882862860138877249?t=qf_uDqDpoj9alCC9tW04fg&s=19
Kama kweli bora, maana wametosha sasakashatua theatre of dreams 😁
Kitakwimu ukimuangalia Kai utasema kwamba jamaa mbona yuko sawa. Why? Coz kwa sasa Arsenal inasemekana inamtaka Cunha, but namba zao hazipishani sana kwenye assists na magoli.Ukiwa shabiki wa arsenal utafurahia goli la kwanza mechi ya juzi UEFA alilofunga Declan rice
Ila ukiwa mpenzi wa mpira utachukia namna striker KAI alivyohangaika kutoa pasi kwa mido RICE badala ya kufanya simple turning na kuscore.
Nimemfanyia critical analysis Kai harvets bila chuki Wala bias na kuhitimisha kwamba huyu ni squad player.
Kuna watu wataleta numbers na records za Kai na wataenda mbali zaidi watamlinganisha na other strikers in the elites Europe leagues ila wasisahau kitu kidogo tu.
How goals are scored,in what condition, pressure of the match in which goals are scored is what makes a difference between strikers
115fc nae kaingiliaKama kweli bora, maana wametosha sasa
Wanasema dogo kachomoa115fc nae kaingilia