Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

you need a "van persie effect" to win the game!
Pole sana jirani.....Naona jahazi linazidi kuzama......Mshalambwa kimoko na Bosingwa na Drgoba wamelamba mwekundu.....Kuna kipindi marefa huwa wanaumiza sana aisee.....Penati na red card mbili inakuwa ni kuumizana jamani....
 
Lazima tumalize top 4..kila match naona Arsenal inazidi kuimarika

Mkuu heshima mbele.

naona nimepitwa na mengi hapa lakini tupo pamoja.

Arsenal ile back four ilikuwa inajipanga na huko mbele utaona ushirikiano mzuri baina ya Mertesacker na Vermaelen akirudi. Santos nae ni beki mzuri sana.

Kulikuwa na tatizo la mawasiliano na sasa Mertesacker anafanya mawasiliano mazuri na mabeki wenzake na wanaweza kujipanga uzuri.

Ila leo tena palikuwa na tatizo na huyu Laurent Koscielny ambae ndie atatupa matatizo sana na mipira ya adhabu ambayo ni yeye anasababisha. Lakini kuna mchango mkubwa anatoa wakti Vermaelen bado yupo nje.

Mimi naamini Arsenal itashinda mechi sita kuanzia ile ya Sunderland, Marseille, sasa Stoke na wanafuatia Bolton halafu Chelsea pale Stanford Bridge na Marseille tena pale Emirates.

article-2052460-0E7F68FA00000578-633_634x343.jpg

Gervinho akifunga goli la kwanza.
 
Van Persie amekamilika toka feeder club fat arse anal aende zake man citeh Jan!
 
Back
Top Bottom