Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Halafu anatokea mwehu mmoja amakwambia kuwa Arteta ni football genius ukilinganisha na 10Hag. Yule Ten Hag alikosa udhubutu wa kumtimua Rashford tu ili ajenge timu yenye morali na muunganiko sawia.
 
Kuna kenge humu zinaamini kwamba bado Arteta anaweza kuwapa mafanikio,,,, mnaweza kufika hata phase 1000 na msipate hata kikombe cha uji !







Fukuza Arteta, ondoa magarasa , sajilini vizuri mtengenez project, baada ya 2/3 years mnaweza kuongea moja sasa ! Magoli ya open play yamekauka kabisa,,, mnategemea setipisesi sio,,,,
 
Tuliaminishwa Odegaard ni playmaker mzuri EPL, mbona magoli ya open play yamepotea ? !!! Alikuwa vizuri tu ule msimu mlikaribia kuchukua ubingwa,,baada ya hapo hakuna lolote !
 
Ila hamiss alizidisha duuuh!!!!
Kumfananisha Harvez na hizo kima nyingine zote mimi haikuniuma. Kilichoniuma ni kuifananisha hiyo takataka yake na King Ng'olo Kante.
Hakika kwa hili Mc Masingeli hastahili kusamehewa, anatakiwa akamatwe afikishwe mahakama kuu afunguliwe kesi ya Uhaini.
 
Ila Kai kamzidi hata Nunez kwa strike mbovu...
Anapoteza nafasi nyingi sana za wazi. Jana clear chance kabisa,sijaelewa alipigapigaje mpira ukatoka nje juu ya mwamba na alikuwa karibu kabisa na goal line.

Huyu jamaa mmepigwa.
 
Imetosha sasa man u endeleeni kujenga timu, bado hamjafika ila mwanga upo lakini bado sana kukaa sawa
 
2022/23
"Huu msimu kombe sio malengo yetu, lengo ni kufuzu uefa na kutengeneza timu ambayo itaanza kupambania makombe msimu ujao.
Tukichukua msimu huu itakua bonasi tu"

2023/24
Kapa

2024/25
Another kapa loading
Not loading, already kapa just waiting for the formalities.
 
Ngoja niende online nitafute kazi ya kuspend nayo usiku. Nishashikwa na hasira.
Usije ukarudi hapa kuomba msaada eti kuna vipele vidogo vidogo vimekutokea kuzunguka uume.
 
Wewe wa wapi tena?
1. Uliangalia ile derby ya Man U vs Liverpool? Nani alikuwa anaombea mpira uishe (kumbuka liverpool ndio timu bora kwa sasa)
2. Umeangalia hii mechi na arse8 akiwa kwake na tukiwa pungufu na mabeki wetu wote kila mmoja akiwa amepewa yellow?

United kwa sasa iko vizuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…