Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,701
- 13,671
Comfort zone imezidi.Haka kajamaa kana kakiburi fulani, ulimbukeni pia, na kanajiona kamemaliza.. Hii itamrudisha nyuma.
Comfort zone imezidi.Haka kajamaa kana kakiburi fulani, ulimbukeni pia, na kanajiona kamemaliza.. Hii itamrudisha nyuma.
joshua mutale budo na Amad dialo messiMagoli yenu atascore nani
Alipipi kashatabiri mnashinda mi sina tena wasiwasijoshua mutale budo na Amad dialo messi
game over😁Alipipi kashatabiri mnashinda mi sina tena wasiwasi
Mchele ana shida gani kuanza?
Mnaangalia mpira kwa link gani ndugu zangu...Yacine TV leo naona hawaoneshi...mwnye link please
Yacine wamezingua sana leo, ukipata link utusambazie upendo na sisi.Mnaangalia mpira kwa link gani ndugu zangu...Yacine TV leo naona hawaoneshi...mwnye link please
Natumia Yalla liveMnaangalia mpira kwa link gani ndugu zangu...Yacine TV leo naona hawaoneshi...mwnye link please
Tumia Yalla liveYacine wamezingua sana leo, ukipata link utusambazie upendo na sisi.
Castr msaada braza
Yalla inaniletea matangazo tu halafu hata hayaondoki.Tumia Yalla live
Castr msaada braza
tv.yalla-live.org
Kila Niki click inaniletea mitangazo tu...hii inakuwaje hii...msaadaNatumia Yalla live