Rashford na Garnacho wanaweza kupatikana January au kiangazi. Dani Olmo na Pau Victor same scenario.
Kuna mashabiki wa Arsenal wanasema ikiwa Rashford atakubali mshahara upungue au united ilipe atakua rotational player mzuri hapa Emirates.
Mechi dhidi ya Newcastle au Brighton ilimuonyesha mchezaji mvivu mpaka ikatengenezwa meme. Rashford alikua anajog in circles with no desire kuengage kuchukua mpira. Garnacho kwenye mechi iliyopita waliyopigwa tatu alinyang'anywa mpira badala ya kunyanyuka aengage akawa anaweka vizuri soksi.
Wapinzani wakaongeza goli.
Kuna wakati namuelewa Arteta kwanini anampa namba Martinelli bila kujiuliza. Martinelli atapokonywa mpira ila utamuona anaukimbilia, na hachoki kujaribu.
Pamoja na yote sitashangaa Rashford akija. Why? For years tumekua kama dampo la wachezaji wa timu nyingine, recent example ni Sterling. Ila tushakua na Welbeck, Mkhtaryan, Cech, Luiz, Galas, Willian, Havertz kuna wengine walikua decent na wengine walikua hovyo.
Kama Rashford akija physical demanding ya Arsenal ataiweza?