It was an honour to share this ride with y'all mpaka leo hii. Special shout out to Snitch la Old Trafford
Flano na makenge mawili yasiyo na kwao
Mbaga Jr Mkohoti na kenge moja linaloibuka na kupotea
Kimbukiko .
Yule jamaa wa newscastle, jina lake hua linanitoka.
Mnaosherehekea hii sikukuu Marry Xmas.
Msiosherehekea kesho tuna mechi ya mapema ya saa 3:30 kuona ikiwa humbleness continues au la. Kenge watacheza na Fulham, Fulham katika games tano zilizopita wameshinda moja nne ni suluhu miongoni mwa waliosuluhu nao ni Arsenal.
Kwa ambao tupo vijijini hata hakuna sehemu ya kujifanya unakula maisha tukomae na kutafuta pesa nyingi ili angalau mwakani tuwe na options