Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal hatuko hovyo bro, ni upepo tu, injuries n officiating, ni vitu vidogo sn kwenye mpira vinavyoweza kukufanya uonekane mbovu, wanaita Variance, sometimes we need to look at stats, Arsenal inaongoza ligi kwa mwaka huu, this calendar year, so we good.
Tumeanza slow msimu huu kutokana na majeruhi ambayo mpaka leo bado yanatuendesha.

Kama January hii tutasajili inawezekana tukaanzisha title race nzuri na ya uhakika
 
Nwaneri in the house.

With Nwaneri we have a long shot taker same na Merino. I think leo tutaona shots nyingi za nje ya box ukilinganisha na siku zingine.

Hii mechi naona benchi limeamua kushambulia

20250101_193210.jpg
 
Rashford na Garnacho wanaweza kupatikana January au kiangazi. Dani Olmo na Pau Victor same scenario.

Kuna mashabiki wa Arsenal wanasema ikiwa Rashford atakubali mshahara upungue au united ilipe atakua rotational player mzuri hapa Emirates.

Mechi dhidi ya Newcastle au Brighton ilimuonyesha mchezaji mvivu mpaka ikatengenezwa meme. Rashford alikua anajog in circles with no desire kuengage kuchukua mpira. Garnacho kwenye mechi iliyopita waliyopigwa tatu alinyang'anywa mpira badala ya kunyanyuka aengage akawa anaweka vizuri soksi.

Wapinzani wakaongeza goli.

Kuna wakati namuelewa Arteta kwanini anampa namba Martinelli bila kujiuliza. Martinelli atapokonywa mpira ila utamuona anaukimbilia, na hachoki kujaribu.

Pamoja na yote sitashangaa Rashford akija. Why? For years tumekua kama dampo la wachezaji wa timu nyingine, recent example ni Sterling. Ila tushakua na Welbeck, Mkhtaryan, Cech, Luiz, Galas, Willian, Havertz kuna wengine walikua decent na wengine walikua hovyo.

Kama Rashford akija physical demanding ya Arsenal ataiweza?
Mkuu kwenye hio orodha yako umemsahau beki nguli ya soka duniani Mikael Silvestre.

images-22.jpg
 
Raya alitarajia Mbeumo atajaribu kucurve kwenye far corner so akatoka ajiandae na hilo akiamini close corner italindwa na Calafiori.
 
Aina hii ya goli la Mbeumo ndiyo yanaipa timu ushindi when all else fails.

A goal outta nothing.
 
"Wanavuta bhangi pale Arsenal" maneno ya John W Henry dhidi ya Arsenal mwaka 2013.

Jamaa hakukosea
Tulizungua sana pale kwenye dili la suarez, 🤣
Nikaona hata kama bosi wa arsenal angekuwa mchaga, asingefanya ujinga ule.
 
Raya alitarajia Mbeumo atajaribu kucurve kwenye far corner so akatoka ajiandae na hilo akiamini close corner italindwa na Calafiori.
Mmeanza kulaumiana au mmeanza kujitetea?
 
Back
Top Bottom