Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Kati ya Liverpool na city, kiukweli tuombee city azidi kupoteana. Liverpool tutajua wapi kwa kumdaka
By February 20 hivi Liverpool atatupisha pale juu
At that time saka atakua amerudi so tusiwe na majerui ya key players tu
Hiyo fixture naenda kupiga wote hao, na ninaemuombea azidi kupoteana ni huyo huyo city
Liverpool tutajua tunaenda kumdakia wapi. Hizi ni game ambazo liverpool ataacha points zaidi ya 10
Arsenal
City
Nyumbu
Chelsea
Spurs
Everton
Villa
Ukija upande wa arsenal, hizo timu nilizoziandika hapo juu, tunaenda kuchukua points 15+
Kweli Bangi ni mbaya