Bro, Amad sio dogo ana 22+Yule dogo anahitaji kucheza mechi nyingi kama akina Mainoo na Amad ili azoee kucheza kwa level ya juu. Awe anaingia hivyo kwa Odegaard na ikiwezeka awe anaingia kama left 8 ili kumpumzisha Merino na mbadala wa Havertz kwenye nafasi hiyo mara moja moja.
Mkeka umechanika uliweka magoli mengi au ukifananisha na genge lako la Hakika Ruben unaona Arsenal tupo hovyo?Terrible arsenal!
Sasa huyo Nwaneri ndo hatari basi kama hujajua. Save this comment.Unatumia pesa nyingi kwaajili ya LB mpaka unanunua wanaumia in a week kumbe LB wenu yupo academy.
Huyu Myles ni mzuri kushambulia, ana energy, physically yuko vizuri kulinganisha na umri ila ana utoto bado. Kama unamuamini Myles akulindie mashambulizi ila kumuamini Nwaneri akuanzishie mashambulizi ni ngumu.
Ni kweli. Anaonekana mzuri ila hapati game timeSasa huyo Nwaneri ndo hatari basi kama hujajua. Save this comment.
Tulia weweBukayo Saka kuikosa World cup 2026 baada ya kufanyiwa surgery Juzi.
Aiseee....hamnazo kabisa.Bukayo Saka kuikosa World cup 2026 baada ya kufanyiwa surgery Juzi.