Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ni m
Ni suala la muda!
kocha mpya bado wapinzani hawajamsoma tactics zake.
Next round watakuwa na wakati mgumu.
Binafsi naamini liver ya klop ilikuwa inatisha kuliko hii ya kipara pesa.
Eti,Bingwa asipokuwa Man city basi atakuwa Arsenal,Kirahisi rahisi tu, Mlikuwa mnaaminishana Upumbavu.
 
Je,Arsenal vipi ??? Wao wana aminika Mkuu si ndio...........[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
Haaminiki as in anaweza kubadilika akashinda ingawa kaongozwa mapema.

Ndiyo, Arsenal haaminiki pia
 
They are very electric and focused huku hawana majeruhi. Ni mapema kuwaona hawastahili kuwepo walipo.

Ruben ni kocha mpya ila anagalagazwa hapa mwanzo tu
hawana majeruhi?
Jota amekaa nje toka wa 9,
Alison kakaa nje miez 2+,
Ibou bado yuko nje,
Jones alikua nje,
Eliot ametoka majeruhi,
Robo kuna muda alikua majeruhi,

give credit where its due, liver wana timu imara sana kwa sasa, na kocha wao mpya amebadili vitu vichache sana kiasi kwamba wachezaji wame-copy haraka!

unamuona Amorin? amekuja majuzi tu na anataka timu icheze anavotaka yeye matokeo yake anakula vipigo daily, wakati Slot licha ya kukaa preseason na wachezaji hajabadili mfumo mzima uliokuwepo, hii ndio tofauti ya kocha mzuri na kocha wa kawaida!

liver kocha wao anacheza kulingana na strength za wachezaji wake, na kama umewahi kuangalia game hata 2 za fayenoord utagundua hii style wanayocheza liver sio ile style yake hasa aliyoitumia uholanzi
 
Nadhani kumkosa Saka ni Big blow ila itatupa nafasi ya kumpa nafasi player mwingine kwenye nafasi ile. Hivi karibuni Martinelli wing ya kushoto amekua akizunguka tu, leo nadhani atakaa kulia. Jesus atabaki position yake.
Trossard anaweza cheza kushoto.
 
hawana majeruhi?
Jota amekaa nje toka wa 9,
Alison kakaa nje miez 2+,
Ibou bado yuko nje,
Jones alikua nje,
Eliot ametoka majeruhi,
Robo kuna muda alikua majeruhi,

give credit where its due, liver wana timu imara sana kwa sasa, na kocha wao mpya amebadili vitu vichache sana kiasi kwamba wachezaji wame-copy haraka!

unamuona Amorin? amekuja majuzi tu na anataka timu icheze anavotaka yeye matokeo yake anakula vipigo daily, wakati Slot licha ya kukaa preseason na wachezaji hajabadili mfumo mzima uliokuwepo, hii ndio tofauti ya kocha mzuri na kocha wa kawaida!

liver kocha wao anacheza kulingana na strength za wachezaji wake, na kama umewahi kuangalia game hata 2 za fayenoord utagundua hii style wanayocheza liver sio ile style yake hasa aliyoitumia uholanzi
We jamaa sasa unataka ubishi. Kwani nimesema timu au kocha ni mbovu?

Unajisikiaje kuandika kitu kirefu ambacho ndicho mtu amekubali?
 
Kama mnaona mna timu bora kuliko LIVERPOOL FC ni rahisi tu Msihangaike sana fanyeni mnavyojua mtutoe pale juu ya msimamo, Kama hamuwezi SHUT UP.
This will be done sooner than you think
 
Kama mnaona mna timu bora kuliko LIVERPOOL FC ni rahisi tu Msihangaike sana fanyeni mnavyojua mtutoe pale juu ya msimamo, Kama hamuwezi SHUT UP.
mnashushwa tu hapo kwani gape ni point ngapi?
 
Partey kala benchi

Nafikiri idea ya Arteta ni kufanya kwamba threat ianzie kw mid once mpira ukipatwa.

But this is difficult given kwamba katika mid hii Kai anapoteza mpira fasta pia anahofia mno lawama kwahiyo ana bavk passes na sideways passes nyingi.

We want victory
Screenshot_2024-12-27-22-26-50-474_com.instagram.android-edit~2.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom