Sawa Muumin Mwinjuma kocha la duniaSaka ni mchezaji kawaida sana hamuwezi kupata wakati mgumu bila yeye
Sawa Muumin Mwinjuma kocha la duniaSaka ni mchezaji kawaida sana hamuwezi kupata wakati mgumu bila yeye
Nakumbuka mlidanganya saka mgonjwa na atakosa Game yetu ya liverpool ila siku ya Game akaanza.
Leo naona kaumia ya kiukweli ukweli. Namtakia matibabu mema apone haraka.


Raheem Sterling baada ya kusikia Saka kaumia akaenda kuangalia fixtures za january, alichokutana nacho kaamua kuutangazia umma kua na yeye kaumia atapona katikati ya january.
Na huyu ndo mpiga kona wetu sisi boko haramu football....sasa kona zetu atapiga nani au patey...😂😂Raheem Sterling baada ya kusikia Saka kaumia akaenda kuangalia fixtures za january, alichokutana nacho kaamua kuutangazia umma kua na yeye kaumia atapona katikati ya january. View attachment 3183399View attachment 3183400View attachment 3183401
Unauhakika against chelsea alitumia formation hiyo? Acha kuchangamsha genge.Everton kafungwa na nyumbu formation ikiwa 4 2 3 1.
Akamfunga Wolves kwa 5 4 1
Akapata suluhu kwa Arsenal kwa kutumia 4 4 1 1
Guess dhidi ya Kenge kachagua formation gani? 🤣🤣🤣
4 2 3 1
Line up ya saa moja kabla ya game ilikua hiyo.Unauhakika against chelsea alitumia formation hiyo? Acha kuchangamsha genge.
Shida ni kikosi kidogo. Akiumia Jesus tunakosa mbadala wa striker/option ya RW. Saka na Sterling wakikosekana wote tunabaki na Trossard na Martinelli tu kwa wings na hao nao watachoka na kuumia.Arteta anasema priority ya kwanza ni kutafuta suluhu kwa kikosi alichonacho. Haoni suluhu kwa kuingia sokoni January hii.
Ni ishu imetusumbua kwa misimu miwili mfululizo kwanini kocha hakutaka kuaddress hii ishu? Badala yake akaja na Marquinhos na Kai kisha akawekeza nguvu kwa LB ambao nao ni injury proneShida ni kikosi kidogo. Akiumia Jesus tunakosa mbadala wa striker/option ya RW. Saka na Sterling wakikosekana wote tunabaki na Trossard na Martinelli tu kwa wings na hao nao watachoka na kuumia.
Kuna makosa anayafanya ambayo mashabiki tunaona anakosea ila yeye haoni. Anyway, mimi namuacha tu afanye kazi yake.Ni ishu imetusumbua kwa misimu miwili mfululizo kwanini kocha hakutaka kuaddress hii ishu? Badala yake akaja na Marquinhos na Kai kisha akawekeza nguvu kwa LB ambao nao ni injury prone
Yule dogo anahitaji kucheza mechi nyingi kama akina Mainoo na Amad ili azoee kucheza kwa level ya juu. Awe anaingia hivyo kwa Odegaard na ikiwezeka awe anaingia kama left 8 ili kumpumzisha Merino na mbadala wa Havertz kwenye nafasi hiyo mara moja moja.Wakati Odegaard ni majeruhi Arteta akaulizwa kwanini asimpe namba Nwaneri akajibu Nwaneri hayupo tayari.
Juzi dhidi ya Everton akamtoa Odegaard mapema na kumuingiza Nwaneri, mchezaji anayesema kwamba hayupo tayari.
Tierney bado kidogo. Labda Lewis-Skelly. Na hapo kwa Nwaneri nadhani atakaa odegaard ili Martinelli acheze right na Trossard acheze left.Baada ya injury ya Saka hiki kikosi ndiyo cha kutafutia ushindi. Hata mid game mnaweza switch to 4 2 3 1
View attachment 3183723
Kwangu ni ngumu nimuamini Lewis halafu nione Tierney haweziTierney bado kidogo. Labda Lewis-Skelly. Na hapo kwa Nwaneri nadhani atakaa odegaard ili Martinelli acheze right na Trossard acheze left.
"Timu gani inategemea kona?"
Saka kaumia
"Timu gani inamtegemea Saka?"
Odegaard kaumia
"Timu gani inamtegemea Odegaard?"
Saliba kaumia
"Timu gani inamtegemea Saliba?"
Hii timu haidai wala haidaiwi na mtu. Kwa level ya local competition haina cha kuprove, watabweka bweka na kujichekesha ila katika hao wengine washasahau kushinda kukoje, wengine nafasi walizopo ni mafanikio makubwa hawakuwaza wakati msimu unaanza.
Wanaingia tu threads za wanaume wanakosa cha kuandika wakimaliza wanaondoka



Snitch la Old Trafford"Wanaingia tu threads za wanaume wanakosa cha kuandika wakimaliza wanaondoka"
Hao wanaume wenyewe sasaView attachment 3183760