TayariCity inatarajiwa kushuka mpaka nafasi ya 7
Washuke tu aisee. Sasa tuanze kupambana na Liverpool, Forest na ChelseaCity inatarajiwa kushuka mpaka nafasi ya 7
Mchomokee wapi ,kwa Notingham ?Chelkenge kapigwa, kesho nafasi ya pili inatuhusu
Sasa hivi city kuwapa namba academy wengi wameacha coz hawapo sure na ushindi
Leo mmenasa 😂Dah ! Kenge leo tumekula kipondo ,aisee Merry Christmas Arsenyetoz wote duniani , naona mganga wenu anafanya vizuri , mnaroga sana sikuhizi mpaka , Ila kombe hambebi ,mtabeba karai la zege mwisho wa msimu
🤣🤣🤣🤣🤣Castr na genge lako
Panga upangavyo ila nafasi ya Kai lazima ubakishe 🤣🤣 Arteta ana mapenzi nayeBaada ya injury ya Saka hiki kikosi ndiyo cha kutafutia ushindi. Hata mid game mnaweza switch to 4 2 3 1
View attachment 3183723
Dah 😂😂Panga upangavyo ila nafasi ya Kai lazima ubakishe 🤣🤣 Arteta ana mapenzi naye
Kuna timu mbili ambazo kama zikishinda inakua advantage kwa Arsenal basi ni lazima zitafungwa.
Spurs na Brentford.
Ni mHuyu liva haaminiki
They are very electric and focused huku hawana majeruhi. Ni mapema kuwaona hawastahili kuwepo walipo.Ni m
Ni suala la muda!
kocha mpya bado wapinzani hawajamsoma tactics zake.
Next round watakuwa na wakati mgumu.
Binafsi naamini liver ya klop ilikuwa inatisha kuliko hii ya kipara pesa.