Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Everton kafungwa na nyumbu formation ikiwa 4 2 3 1.

Akamfunga Wolves kwa 5 4 1

Akapata suluhu kwa Arsenal kwa kutumia 4 4 1 1

Guess dhidi ya Kenge kachagua formation gani? 🤣🤣🤣

4 2 3 1
 
So Bournemouth walitufungaje? This is shit show, wao wabovu na nyumbu wabovu. No one has any plan
 
Next five games

Screenshot_2024-12-22-23-49-00-747_com.mobilefootie.wc2010-edit.jpg
 
Nakumbuka mlidanganya saka mgonjwa na atakosa Game yetu ya liverpool ila siku ya Game akaanza.

Leo naona kaumia ya kiukweli ukweli. Namtakia matibabu mema apone haraka.
 
Nakumbuka mlidanganya saka mgonjwa na atakosa Game yetu ya liverpool ila siku ya Game akaanza.

Leo naona kaumia ya kiukweli ukweli. Namtakia matibabu mema apone haraka.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Raheem Sterling baada ya kusikia Saka kaumia akaenda kuangalia fixtures za january, alichokutana nacho kaamua kuutangazia umma kua na yeye kaumia atapona katikati ya january.
1734963902741.jpg
1734964225432.jpg
1734963939144.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom