Kuna uhakika gani kuwa mkofanya usajili mtapata ushindi.Dhidi ya Newcastle kwenye nusu fainali ya Carabao itakua ni two legged tie.
First leg itachezwa January 7 na second leg itacheza February 4. Kwa kuzingatia jinsi tulivyo slow kusajili inawezekana first leg ikatukuta hatuna sajili mpya ya kuhakikisha ushindi.
Tujipange
