Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,233
- 76,758
Dah 😅Hii CCM wanaita kukupangia majukumu mengine.
Dah 😅Hii CCM wanaita kukupangia majukumu mengine.
Hii game inamhitaji rice ama merino, kai sio game yake kabisa.Nafikiri Trossard kuingia itasaidia kuongeza threat kule mbele
Sahivi wa motoHuyu Jesus huyu 😅😅
Tutafanyaje na mchizi wake kaamuaHii game inamhitaji rice ama merino, kai sio game yake kabisa.
Na alivyo na bahati, kafunga goli la 3😂Tutafanyaje na mchizi wake kaamua
Wasikusikie mashabiki zake. 😂Kai ni fala
Mchizi kwenye kuscore is very luckyNa alivyo na bahati, kafunga goli la 3😂
Uwe na vyoote, ila ukiwa na bahati nzuri, utaenjoy sana hapa dunianiMchizi kwenye kuscore is very lucky