Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Unaona sasa kocha wetu alichofanya?

Jesus amescore hat trick ni ngumu kumuacha so kamuanzisha. But nafsi inamuuma Kai kua nje so na Kai kaanza at the expense of what? Our mid.

Kamuweka Partey kati, Rice kala benchi

Screenshot_2024-12-21-19-44-07-612_com.instagram.android-edit.jpg
 
Kuna wakati Arteta anafanya mechi inakuwa ngumu kutokana na mahaba yake.. Kai Havertz ahead of Declan Rice ni Big No.. Kwa style hii tutasubiri sana.. Hata Kieran Tierney sioni sababu za kutoanza kwenye hii mechi.. Ni viburi tu vya makocha wa Kihispania
Rice alikuwa injured, kwa hiyo atapata game time fupi mwishoni. Kai is not that much bad, how many times he has given us important points?
 
Rice alikuwa injured, kwa hiyo atapata game time fupi mwishoni. Kai is not that much bad, how many times he has given us important points?
Ni kweli bro upo sahihi kwa upande wa Rice lakini tuna Mikel Merino mwenye Game time ya kutosha angeweza kucheza vizuri kuliko huyu Havertz... Havertz huwa anaonekana akicheza kule mbele akisubiri mipira inayozagaa, lakini kwenye upande wa playmaker hapana aisee.. Ni very slake na hata kwenye Skills sio Gifted kama wakina Ozil.. Anyway, huo ni mtazamo wangu kama shabiki. Pengine kuna kitu Arteta anaona mimi sikioni.
 
Kuna wakati Arteta anafanya mechi inakuwa ngumu kutokana na mahaba yake.. Kai Havertz ahead of Declan Rice ni Big No.. Kwa style hii tutasubiri sana.. Hata Kieran Tierney sioni sababu za kutoanza kwenye hii mechi.. Ni viburi tu vya makocha wa Kihispania
Genius wetu huyo babu.
 
Hawa wahuni juu wanapress mnoo, hapa ni arsenal beki zake na partey kutuliza akili, pasi inabidi ziwe za mbele zenye kupenya frontline yao, ukiangukia kwa kina Odegaard tu, wao wanakuwa nusu uchi.. Zaidi ya hivyo watatusumbua sana labda wakate moto ama wapoteze umakini kwenye mchezo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom