999 chatta
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 875
- 1,629
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nimejipa likizo ya mambo ya mpira, hii timu sijui ina laana qmmk
🤣🤣🤣🤣Saka naye ni mchezaji kweli au tapeli tu ?
Mchezaji gani anaitwa saka ,wewe uliona wapi ?
Saka ni fundi sana!Eti saka akupe ubingwa? 😂 😂 😂 😂
Timu inamtegemea kilema wa miguu Kai Havertz ,aiseeTimu halina epl miaka 21 halafu mnategemea Havertz awape epl
Kumuweka benchi Cole Palmer si Kwa sababu Saka ana kiwango kuliko Palmer ni uduwanzi tu wa makocha wa timu ya England na mifumo yao ya ovyo na kukaririshwa tu wachezaji ,ndio maana litimu lao limekuwa la ovyo miaka yoteSasa kama tapeli anamuweka benchi mchezaji unayemsujudu hii inatakiwa kumaanisha nini?
Haya majamaa yalikuwa yanatuambia hamna kiungo bora duniani namba sita kitasa kama Declan ubwabwaToka mume invest milioni 100 kwa Declan mchele Mmeshinda kombe gani
Anamuweka benchi au hamuweki benchi?Kumuweka benchi Cole Palmer si Kwa sababu Saka ana kiwango kuliko Palmer ni uduwanzi tu wa makocha wa timu ya England na mifumo yao ya ovyo na kukaririshwa tu wachezaji ,ndio maana litimu lao limekuwa la ovyo miaka yote
We ndio unajitoa ufahamu! Ndio mana nikakuuliza timu gani ya taifa saka anamuweka Palmer benchi? Labda kama una timu yako ya taifa huko mtaani kwenu ambayo Saka anamuweka Palmar benchi.We bwana usitake kujifanya chizi.
Kama hata hujui timu ya taifa ya Cole na Saka hapa nikikujibu si utaona nakuonea
Naona umeandika hiviWe ndio unajitoa ufahamu! Ndio mana nikakuuliza timu gani ya taifa saka anamuweka Palmer benchi? Labda kama una timu yako ya taifa huko mtaani kwenu ambayo Saka anamuweka Palmar benchi.
Kwa sasa Saka anakula benchi labda kama hujaangalia hizi mechi za mwisho za England. Na baada ya kuanza kula benchi tu england ndio ikaanza kushinda, tena goli nyingi.
Saka winga... palmer kiungo mshambuliaji... mnabishania nini hapo?We ndio unajitoa ufahamu! Ndio mana nikakuuliza timu gani ya taifa saka anamuweka Palmer benchi? Labda kama una timu yako ya taifa huko mtaani kwenu ambayo Saka anamuweka Palmar benchi.
Kwa sasa Saka anakula benchi labda kama hujaangalia hizi mechi za mwisho za England. Na baada ya kuanza kula benchi tu england ndio ikaanza kushinda, tena goli nyingi.
Palmer hawezi kucheza right wing hana ufanisi huo. Winger inamtaka mtu anaeweza kurudi kuja kumsaidia full back yake kwenye mipira ya kileo hii. Namuona zaidi kama kiungo mshambuliaji, eneo ambalo yupo Foden, Judi,.Saka winga... palmer kiungo mshambuliaji... mnabishania nini hapo?
Mechi za mwisho ameanza hajaanza?Naona umeandika hivi
"Kwa sasa Saka anakula benchi labda kama hujaangalia mechi za mwisho za England"
Mimi hua sipendi watu wabishi ambao hata hawajui kitu ila wanakomaa kuleta ubishi wa kitoto. Hizi ni tabia za mashabiki wa united naona chelsea mnazivamia hizi tabia.
Hizo mechi unazosema England kashinda nyingi Palmer hakuanza. Na siyo tu hakuanza hata kwenye kikosi hakuitwa badala yake aliitwa Madueke.
Tangu kocha ni Southgate England chaguo la kwanza ni Saka. Hata alipokuja Lee Carsley chaguo la kwanza ni Saka. Katika career ya timu ya taifa Palmer amewahi kuanza mara mbili tu maisha yake yote.
Na ya mwisho anaanza ni kwenye game na Finland anatolewa anaingizwa Madueke. Na hapo ameanza kwakua Saka hata kuitwa hakuitwa timu ya taifa.
Ikatokea Palmer na Saka wameitwa timu ya taifa ni lazima Saka aanze kama mechi ni ya muhimu. Mechi ambazo Palmer kaanza ni ambazo Saka hakuepo kabisa timu ya taifa.
Sasa nitajie ni mechi gani Palmer kaanza na wakashinda nyingi England
Itakua hujui KiswahiliMechi za mwisho ameanza hajaanza?
Hata sisi pale Chelsea tunashangaa kwanini Sanchez Ni kipa no 1 wakati tunaona kipa no 2 Ni Bora kuliko Sanchez, Huyu Sanchez kila game lazima afanye makosa lakini still kocha anampendaAnamuweka benchi au hamuweki benchi?