Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Litakuwa pengo kubwa kwao kuwakosa Mainoo na Lisandro Martinez.Fabrizio anaripoti kwamba Mauno na Kijeba wamekua suspended so hatokuepo mechi inayofuata.
Mashabiki wa Arsenal wamekasirika kwakua nyumbu watatumia hicho kama kisingizio wakifungwa. But kichekesho ni rates za hao wategemewa π
View attachment 3167487
kwa upande wa arsenal big gaby, partey, merino na wala hatuna wasiwasiLitakuwa pengo kubwa kwao kuwakosa Mainoo na Lisandro Martinez.
still trophyless
Dah! nimechaka kama mazuri.still trophyless
Tu hesabu pia how many days since you last won epl
Wana mmeshampachika jina na huyu tenaView attachment 3168231
Mpaka saa hii kwenye fotmob watu zaidi ya 20,000 wamepiga kura kusema united anashinda, 18,000 wanasema Arsenal anashinda na 4000 wanasema mechi itakua suluhu.
Hata hivyo Betpawa wamepiga odd 1 Arsenal na United kagewa 7.
Mashabiki wa united wameridhishwa na mechi kadhaa za Hakika Ruben na sasa wanaamini wapo on the right track kumfunga yeyote.
Kwa Arsenal, Partey, Gabriel na Calafiori wamefanya mazoezi na timu na Wana % kubwa za kuwepo mechi ya Kesho. Merino bado medical team haina uhakika kama atakuepo. Katika midfielders wetu ni Merino na Nwaneri ndiyo wamekua wakifanya long range shooting mara nyingi.
Tuliwahi kua na Xhaka Kwa kazi hiyo ila hatujapata mwingine. Let us see mid yetu itachoweza kudeliver Kesho.
Hakuna mbadala wa Orde nakukatalia mbadala yupo Ethan Nanweri pure Talanta anafit kucheza namba 10 ila Arteta mpumbavu hampi nafasi.Starting 11 yetu wakitoka 3 wakiingizwa 3 wa benchi timu inacheza kama hua hawawi wote mazoezini.
Hii inasababisha mchezaji wa starting 11 akipata majeraha basi ushindi kwetu unakua changamoto.
Angalau eneo la 6 wanajitahidi kuziba gaps namaanisha Partey na Jorginho. Lakini Odegaard kawa majeruhi na timu inastruggle na nje hakuna mbadala, on paper Sterling anatakiwa aweze kufanya kinachofanywa na Odegaard lakini hapana, kenge walikurupuka na sisi tuliiwahi late signing tukiamini tutabenefit na uzoefu wake.
Mpaka sasa amebenefit Nwaneri kwa kupata goli la kwanza la ligi, kitu ambacho Antony wa nyumbu aliyenunuliwa kwa 80M hana.