Questt
JF-Expert Member
- Oct 8, 2009
- 3,010
- 422
hodi hapa! shwari!
Nilikua najiuliza huyu MUZUSHI wapi????? Game bado lakini mazee.....Usianze kuchonga....
hodi hapa! shwari!
Afu yule Metasako sio beki aisee...may b tym wl prove hm he is ok...
That is the Lesson..... Hatuwezi kumiss chance mbili ..... PER badala ya kuruka anapinda..... Ila game bado yetu......
Nilikua najiuliza huyu MUZUSHI wapi????? Game bado lakini mazee.....Usianze kuchonga....
Imekuwaje tena????cha kwanza hicho....
niko kule kwenye jukwaa langu la Chelsea naripoti mechi....
Nani amefungwa??
Huku umeme hakuna....
Hahahahahaaaaaaaa!!!!!! No way...... Kule huwa huakai kabisa Mazee
Nani amefungwa??
Huku umeme hakuna....
jamani nimepoteza kware wangu.... naskia anapena kuishi kama bundi!!! hutua kwenye misiba tu...ana matatizo kidogo ya ufahamu
View attachment 40233