Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

2ko pamoja washika bunduki. Nimechelewa kidogo lakini hakijaharibika ki2!
 
Yaani hii game tusiposhinda sijui kutakua kuna sababu gani ya WHY NOT????? Hawa Chelsea wepesi sana........ Mistakes za kibwege upande wa ulinzi na Kukosa magoli ambayo haifai kukosa ndo kumetucost in this 1st half..........



unaongea kama vile Chelsea hawajakosa mabao!! duh, ushabiki noma!
 
Gooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaallllllllllll


Walcottttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttt
 
Teh teh teh teh hivi hawa wazee wa chelsea wanaofungwa salary slip zao mbona haziendani na magoli wanayofungwa 3-2 walocot goli la tatu
 
sasa naweza kula chakula cha mchana naona kitu cha tatu hicho...hawa wetu tu, hembu mnijuzi nani kalitingisha
 
Back
Top Bottom