Baada yakile kipigo cha goli 8,mashabiki walirudishiwa kiingilio unajua hizo pesa zilitoka wapi?Mkuu bado mapema sana kuanza kuadhibiana:
Rio Ferdinand, Patrice Evra and Anderson are set to pay the price for Manchester United's 6-1 defeat against Manchester City with Sir Alex Ferguson ready to make high-profile changes for the Premier League trip to Everton on Saturday.
Ferguson criticised Ferdinand and Evra's second-half performances against City in his televised post-match interview, but Brazilian midfielder Anderson is also understood to have borne the brunt of the manager's anger following his poor performance.
Mteja wetu Chel................Aksanteni sana warusha matangazo kutoka studio. NM na Wacha. Mechi inayofuata ni ya nani?
ARSENE WENGER:TV kaumia,duh mbona hatari.
Hongereni wakuu wenzangu.
Kama kuna mtu ameona game naomba kujua perfomance ya Park ilikuwaje?
Tunatisha,japo kidogo.
park kapiga bao moja tamu sana.... nitatafuta highlights niweke hapa...
Yaani RVP akikipiga full season bila kuwa injured itakuwa poa sana.Nimepata highlights pia Viper
Arsenal - Bolton 2-1 Full Highlights - YouTube
Huyu kijana itabidi tu aanze, au labda AW anamuweka kiporo kama RVP akiumia, binafsi namuachia babu.
Ila vijana wanasonga mbele,ushindi juu ya ushindi, tuombe iwe hivi hivi...!!
Yaani RVP akikipiga full season bila kuwa injured itakuwa poa sana.
Yep it is a mouth watering tie,horns will be interlocked and the weak one will retreat.Sie na Chelski! Peasant will erect a tent here!
Anyway boss kasema...
Arsene Wenger: 'Big results have no meaning in football' - video | Football | guardian.co.uk
Kazi kwa vijana, kuwapeleka puta tu, "The OX" na "Park" waanze, hapa ni kucheza kwa kasi, kuwabana blues wakose nafasi ya kutengeneza nafasi.
RVP ana goli zake 2, Park official anaingia kwenye EPL records kwa kufunga naye goli moja!
Mouth watering..!