Hiyo ndio nafasi yenu ya siku zote ,sio kwamba mnashuka mpaka nafasi ya saba ,acheni kujitutumia ninyi Arsenyetoz, leo tunawarudisha kwenye nafasi yenu halisi ,baada ya kuwacharaza bao za kutosha .Tusiposhinda mechi ya leo tunashuka mpaka nafasi ya 7.
Nimecheka tu ulivyotuita waleviHili suala la kushinda leo futeni humo kwenye vichwa vyenu ninyi walevi ,false hopers FC
Leo hizo pombe zenu zitaishaNimecheka tu ulivyotuita walevi
Arteta na Kai Havertz ni mtu na mjomba wake 😆😆😆😆😆Nimecheka tu ulivyotuita walevi
Kama Pochetino na Ghallagher , leo msijidamganye kwamba Havertz haanzi ,anaanza ,maana huyo kiwete ndio super star wenu pale mbeleNimecheka tu ulivyotuita walevi
Tukiwa wabovu hivi.Leo hizo pombe zenu zitaisha
Hilo naweza nisipinge😅Arteta na Kazi Havertz ni mtu na mjomba wake 😆😆😆😆😆
Sijaelewa hii kitu.Tukiwa wabovu hivi.
Next match ikawa dhidi ya Kenge, mna kipa anaitwa Mendy.
Tukawanyoosha 3
View attachment 3148491
Hivi comment zenu za kujitia matumaini tutazifufua tuuIli tumfikie City na Liver ni muhimu game ya kesho tufe na mtu.
Hatuhitaji draw, tunahitaji ushindi..iwe kwa goli moja au 4 ili mradi ushindi.
Tukianza tu yale mambo ya inverted full back basi tumekwisha.Tusiposhinda mechi ya leo tunashuka mpaka nafasi ya 7.
Hata sisi Chelsea team pekee iliyoshinda makombe yenye heshima duniani hapo London tunajua umuhimu wa mechi ya leo.Tunajua umuhimu wa mechi ya leo.
Ngoja niishie hapo.
Huo msimu ilikua next match baada ya hizo kumi tunaenda kucheza na chelsea.Sijaelewa hii kitu.