Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Naona leo upo

Mkuu nilikuwa natafuta ugali kwanza khe khe kheeeeeeeeeeee, si unajua tena midweek deadlines then kuna x-mass na mwaka mpya lazima kuweka mambo sawa .... .. vipi wewe, jamaa wa Mancs naona bado wanashangilia .... .....
 
Thomas naona anacheza vizuri ngoja arudi kwenye hali yake ya kawaida .... .. Frimpong anavuja leo .... ....
 
FYI
Huyu jamaa sijawahi kumuona hapa wakati Arsenal wakiwa wanacheza,vipi na wewe umemaliza likizo yako?

Wacha fujo wewe kwani tulikuwa na miadi? Vipi umepoteza memory yote tangu yale magoli sita yalivyoingia! Ryo anaingia ..... ...
 
FYI
Huyu jamaa sijawahi kumuona hapa wakati Arsenal wakiwa wanacheza,vipi na wewe umemaliza likizo yako?
Mkuu bado mapema sana kuanza kuadhibiana:

[h=2]Rio Ferdinand, Patrice Evra and Anderson are set to pay the price for Manchester United's 6-1 defeat against Manchester City with Sir Alex Ferguson ready to make high-profile changes for the Premier League trip to Everton on Saturday.

Ferguson criticised Ferdinand and Evra's second-half performances against City in his televised post-match interview, but Brazilian midfielder Anderson is also understood to have borne the brunt of the manager's anger following his poor performance.
[/h]
 
Back
Top Bottom