Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,701
- 13,671
Tabu ya Arteta ana predictable style of play....hanaga njia mbadala. Babu Wenger kipindi kile hata tukiwa pungufu tungeweza kushinda mechi, ila Bw Mikel hamna.Hivi hiki kijamaa kitatunyanyasa hadi lini? Tumeshindwa kukadhibiti kabisa?