Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,316
- 3,947
😂😂😂 hii jukwaa tutabaki wenyewe humu , tushampiga mchungaji kondoo wametawanyika.Flano Ally pipi
Hamis77 kumbe yupo bhana kaanzisha uzi, kahamia kwenye vita ya wayahudi na waarabu
Labyrinth 84
False hopes zinawasumbua sana vijana wa arsenal saivi wameamia kwenye red cards hope , et wanafungwa tu wakiwa na red card.
Zile phase sijui 3 or 4 zimeisha 😀 zote .False hoper mkuu ameamua kukimbilia kwenye vita za israel na iran huku hapawezi