Kascore hukuSorry wakuu,Merino ni takataka.
Haya endelea kusubiri ufike goliniHuyu Martinel anabutua utadhani anacheza Ngoma
Butueni sana
Subirini tufike golini muone tunavyowakaanga nyie wahuni msio na makombe
Sisi tunarudisha mabao bila mbeleko za faulo na offsideHaya endelea kusubiri ufike golini
Katika nafasi mbili alizokutwa na mpira angalau moja angepata shot on targetKai anaweza akascore, lakini kwangu haifuti yale mapungufu yake.
Unaelewa maana ya mbeleko? Kacheki game yenu na PalaceSisi tunarudisha mabao bila mbeleko za faulo na offside
Acha uchokoSorry wakuu,Merino ni takataka.
Amekosea wapi? hadi sasa naona yuko sawa.Sorry wakuu,Merino ni takataka.
Chalamila nini? 😅Aliepo hapa kitambaa sinza aje kupata bia mbili.
Alilose concentration sehemu hivi akampa chance Salah ashuti. Nahisi hiko ndiyo jamaa kimempa hasiraAmekosea wapi? hadi sasa naona yuko sawa.
Sawa bosiSorry wakuu,Merino ni takataka.
Anhaa niliiona ile.Alilose concentration sehemu hivi akampa chance Salah ashuti. Nahisi hiko ndiyo jamaa kimempa hasira