verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,126
- 6,179
Kipa wako mwenye akili uyu apaHuyu Ramsdale sidhani kama ana akili timamu
Kipa wako mwenye akili uyu apaHuyu Ramsdale sidhani kama ana akili timamu
Hivi becker naye hapo alikuwa anafanya kinini...Kipa wako mwenye akili uyu apaView attachment 3116237
Napenda tuwe na clean sheet ila napenda tupate point tatu zaidi.Ilitakiwa tutoke na clean sheet, ila ndo hivyo tena
Muulize uyo jamaa ake anajuaHivi becker naye hapo alikuwa anafanya kinini...
We jamaa huwa huna kazi ya kufanya aisee🤠🤠🤠...kabisa unakaa kuwategemea Southampton watuvue nguo sisi kwli???....wale hata tukicheza mechi siku 2 mfululizo halafu siku ya tatu tukacheza nao tena tunawafunga kirahisi tu....Ramsdale ni moja ya matahira hapa duniani
Ndioo ipo Tena sanaKuna anaeona nafasi ya Zinny akirudi?
Kama Arteta kaona game ya leo nadhani atakua ashajua lile kosi lililocheza dhidi ya City, PSG na Leicester City ndio kosi lenyewe.
Sasa nakubali mkuu, hii ni pattern kabisaNikasema Wolves wapo kwenye form mbaya nikaambiwa wameanza na mechi ngumu.
Lets keep going
Ambacho hamuoni ni kwamba wanaanzia walipoishia. Walimaliza msimu hovyo, wameanza hovyo.
Mechi 17 wamepata points 6
Zimekuwa za tabu sana kama City.Ilitakiwa tutoke na clean sheet, ila ndo hivyo tena
Yeah....sijui nini kinaendelea.Mbona defence imelegea?
Hivi unafahamu pamoja na ubora wa Arsenal na ubovu wa difensi ya Man Utd kama mnavyotuzingua, bado tuna asilimia kubwa ya cleansheet kuliko ngome ya Saliba na Gaby na pazia lenu Raya?Zimekuwa za tabu sana kama City.
Ukweli ni kwamba ninyi sio wazuri sana ila mna upepo tu misimu hii miwili.
Mmepelekwa na SOTON kiasi kwamba isingekuwa bahati ilikuwa iwe ama draw au mfungwe kabisa.
Timu imepigwa na Man Utd mbovu goli 3 na clean sheet juu imewatoa jasho hivi halafu bado mnawaza ubingwa!
Rudi uendelee kulala.nahisi umekatisha usingizi wako mkuuHivi unafahamu pamoja na ubora wa Arsenal na ubovu wa difensi ya Man Utd kama mnavyotuzingua, bado tuna asilimia kubwa ya cleansheet kuliko ngome ya Saliba na Gaby na pazia lenu Raya?
Namba hazidanganyi mkuu.Rudi uendelee kulala.nahisi umekatisha usingizi wako mkuu
Yani kwa zile beki zenu, na huyo onana mchomeshaji ila bado unaifananisha na ukuta wa Arsenal
Maajabu hayajawahi isha duniani