Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,392
Calafiori ni mtu na nusu
Punda kabisaKENGE NYIE NA BADO
Vipi chief Saints wamekuwakilisha vyema au unawadaiRamsdale ni moja ya matahira hapa duniani
Hamis sijui yuko wapi?! Alimkubali zana Havertz toka day one.Kai Havertz with a brilliant finish to get Gunners back! Arsenal 1-1 SouthamptonView attachment 3116183
Watoto wameutaka,Kama unaona wameonewa lete wewe timu yako View attachment 3116197
Tulia kijana...usiwe unatabiri gunners kufungwa,ni kama vile unawachonganisha wenzakoHuyu Ramsdale sidhani kama ana akili timamu
Kipa wako mwenye akili uyu apaHuyu Ramsdale sidhani kama ana akili timamu