Cash Money Forever
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 705
- 1,281
Harvetz, Sterling & Jognho wote wameanza 1st eleven, tumewapa mashine za kazi, wazee tuongezeeni angalau pesa kidogo acheni ubahili basi.
Simuoni next season kwenye timuJesus namedrop sana kiwango
Dah 😅Hii second half tactics inaweza kutuponza
Takataka ya Chelsea imesawazishaTimu imejaa takataka za Chelsea, unategemea nini?
Hizo mbeleko mnazobebwa nazo its a matter of time.KENGE NYIE NA BADO
Kenge kabisaImelala hiyo
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hizo mbeleko mnazobebwa nazo its a matter of time.
Angalia mechi
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]