ishakuwa kawaida yao haoNyumbu linabanduliwa huko
Umenena safi kabisa kaka. Kwa kua tunahitaji kila point tuna wajibu wa kushinda kila game.On paper Southampton ni mpinzani dhaifu ila katika mechi tano za mwisho dhidi ya Soton tumeokota points 8 tu. Na 2022 wakatupiga
Ila huu msimu hawajauanza vizuri. Ni kama vile nguvu zao wamezimaliza kwenye playoffs za kurudi EPL. Wamecheza mechi 6 na kupata point 1 tu.
Katika mpango wa kuimarisha kikosi wakamnunua Ramsdale kutoka Arsenal. Ramsdale akafungwa nyingi na kuokoa nyingi pia, meaning shida ya timu ipo kwenye game management haswa kujipanga na defense.
Last time tunasuluhu nao aliyescore goli la pili ni Walcott na ile siku ndiyo Ramsdale alionyesha jinsi alivyo mbovu.
Leo wao ndiyo wana Ramsdale golini. Let's see
Sijaelewa arteta kwa nini kapanga kikosi hivi aseee naomba unieleweshe mkuu
Foden ana EPL kibao kenge saka miaka saba hola.Kuna watu wanamfananisha Saka na Foden na Palmer.
Wanasahau kwamba Saka amefanya hiki anachofanya leo kwa miaka zaidi ya 3. Ndiyo sababu timu ya taifa hakuna anayeanza zaidi yake.
Hao wengine wana miezi haizidi 8 tangu muhisi wapo level moja na Saka
Ukimaliza kutia huruma kaa chiniFoden ana EPL kibao kenge saka miaka saba hola.
Palmer kafikisha namba za saka kwa kucheza michezo 60 pungufu
Kivipi chiefSijaelewa arteta kwa nini kapanga kikosi hivi aseee naomba unieleweshe mkuu