Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kudus alikuwepo Emirates Jana.

Ya Calafiori na Raya

20241002_182419.jpg
 
Villa kapaki basi na kampiga Bayern.

Bayern walikua na kosakosa nyingi kweli kweli lakini mwisho Duran akawatuliza.

Kila mtu ataisifia Villa ingawa haram football walilopiga likipigwa na Arsenal ni lawama na kuambiwa tunatembelea dark arts.

Let's see
 
Villa kapaki basi na kampiga Bayern.

Bayern walikua na kosakosa nyingi kweli kweli lakini mwisho Duran akawatuliza.

Kila mtu ataisifia Villa ingawa haram football walilopiga likipigwa na Arsenal ni lawama na kuambiwa tunatembelea dark arts.

Let's see
Basi tunalopaki sio poa.
Mechi mbili za mwisho Arsenal tulizocheza naona kama tumebadili mfumo. Attackers wanapanda kushambulia na mpira ukipotea wanashuka chini kukaba asee. Saka walimhoji baada ya mechi na PSG kama captain akasema inachosha ila inawapa matokeo.
Nafikiri tukiendelea hivi itakua na matokeo chanya. Ila mwambieni Martinelli aongeze goal scoring accuracy anapoteza sana nafasi za wazi.
 
dah kweli chama letu lina hali mbaya ila ni mambo ya mpito bado nina imani na chama letu litafanya mambo makubwa siku za usoni hususani bwana magoli henry.

worm chelsea hawana chochote usajili mkubwa timu hamna,msiombe tukutane raundi ya pili emirates tutawachakaza vibaya sana,
Hii timu ni kazi bure
 
usijihisi mnyonge arsenal inapita katika mabadiliko makubwa ya uchezaji ndani yatimu,pili wachezaji wengi ni wageni katika kuhimili mikiki ya ligi ya ulaya hata uingereza omba tuingie robo fainali ya ulaya utaona jinsi timu itakavyo anza kijiamini mabadiliko utayaona tatu majeruhi mengi ni kwa wakongwe ambao tulitegemea ndio wangeweza kuwapa ujasiri wegeni vuta subira mambo yanakuja baada ya majeruhi kusimama sawa huku wageni kama unvyo ona wanaanza kutulia katika uchezaji mambo mazuri hayataki haraka
Tunavumilia tu
 
The Gunners

DrWHO upo babake? Mbona mmezimika ghafla? Hahaha visingizio haviishi ninyi! Mara maumivu wengi... Mara mwakani ni mauaji... Hahaha ama kweli sikio la kufa___ (siku hizi najua kiswahili vema tu).

DrWHO nakuonea huruma kweli, timu kimeo kimeo kimeo kimeoooooo! david nae naona kaamua kuja

The Blues

kwa kujua kuwa bunduki zimeishiwa risasi. If you can't fight us... Join us mates!

Haha, niliingia kuwasabhai na kuwatakia sikukuu njema za Noel na Mwaka mpya!

Nawapenda na kuwaombea uzima daima!

wOrM
Tunashukuru saana
 
Back
Top Bottom