verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,143
- 6,246
PSG kila tukipata set piece unaona wachezaji huzuni zimewatanda na kukata tamaa kabisa, ngoja tuone second half
Pira harm unaona muda wowote mnafungwa na pia unaona muda wowte mnafunga hatimaye game inaisha 😀😀Arsenal tumevuka kwenye mpira haram sasa tunawapigia wapinzani PIRA P DIDDY.. 😂
Lete wewe timu yako shehePsg ni timu iliyojifia tangu siku nyingi.
Jukwaa ni la Arsenal fans ila mamluki wengi sana chief asikusumbue.Lete wewe timu yako shehe
Ona kama huyu churaTimu misimu saba haina trademark playing style ni aibu kubwa sana hii Uefa mnasindikiza tu
AkajifarijiFailures wa UCL wanacheza leo. Psg hana UEFA
Arsenali hana UEFA.
Full time Psg 5 Arsekenge 0
Saliba umeme
Ndiyo shida ya PSG, mbio, individual brilliance na flash plays za hapa na paleHawa leo wameyakanyaga
Tumewavuruga kwenye duels wao wanategemea mibio
Umeanza!Psg ni timu iliyojifia tangu siku nyingi.
Anaumia sanaOna kama huyu chura
Siku yetu yajaTimu haijawahi kubeba uefa 🤣🤣🤣
kwamba wamepiga bomu mochwari😂Psg ni timu iliyojifia tangu siku nyingi.
Ni kweli kaka, Arsenal anacheza siku hizi unaona kama huyu nikikaza namfunga ila ndo hivo tena unafungwa halafu unabaki kumiliki tu mpira.Kama unacheza draft kama mimi utakua unaelewa jinsi gani it is very frustrating kucheza na mtu ambaye akili yako inakuambia huyu natakiwa kumfunga lakini kila ukitia mguu anakupasua.
Yaani unaona mbona formula yake ni nyepesi ila sioni pa kupita, kutahamaki kwenye games tatu kakufumua mbili. Na ubaya ni kwamba anakufunga magoli yanayokufanya uone huyu hana uwezo sana, so unazidi kucheza naye na anazidi kukupasua.
Akicheza na mtu mwingine unaangalia unaona weaknesses zile pale ngoja nirudi tena nimuonyeshe. Unarudi anakupasua tena.
Huyo mtu sasa ndiyo Arsenal.