Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ta
Huyu trosard awe anaanzia bench ili kulet matokeo makubwa
Tafuteni mwalimu wa nidhamu mapema, la sivyo kila mechi mtapoteza mchezaji kwa red card. Sheria ya kupiga mpira mbali baada ya refa kupuliza kipenga imetiwa mkazo msimu huu.
 
Bado refa alikuwa anamuonya kawaida tu haikuwa challenge ya kulazimisha kutoa kadi
Marefa wa England huwa ni wapuuzi sana na ndio maana wanaongoza kwa kuchikiwa na mashabiki wa mpira kutokana na maamuzi yao yasiokuwa na busara.

Kama huyu Michael Oliver ndio hamna kitu kabisa tangu nimuone akiwanyonga Juve dhidi ya real Madrid mwaka 2018 nikajua kabisa huyu ni referee wa ovyo asiyejua afanya maamuzi gani yaliyo sahihi kulingana na mechi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…