Sterling kamshauri.Huyu Jesus nani kamwambia asuke?
Mshahara wake matumizi yakeHuyu Jesus nani kamwambia asuke?
Hiyo kwa STERLING ni rasharasha magoli yanakuja, wazee mnunueni permanent mashine ya kazi hiyo acheni ubahili basiHuyu Sterling kafanya nini pale
Dah!Itabidi tumshauri kipara atuletee huyu timber pale matofalini, ni mwanawe halisi wa kumlea.
Roho mbaya ni nini?
Ni kitendo cha timu moja kujikusanyia timber, calafiori, kiwior na mtoto wa ukraine.
HAKIKABora martinell kuliko Gabriel jesus
Itabidi tumshauri kipara atuletee huyu timber pale matofalini, ni mwanawe halisi wa kumlea.
Roho mbaya ni nini?
Ni kitendo cha timu moja kujikusanyia timber, calafiori, kiwior na mtoto wa ukraine.

Timber alikuwa uchochoro??nadhani tumeangalia TV tofauti,naamini Timber amepiga ball la uhakika sanaMmeshinda hongereni ,,, mmepelekewa sana moto,,, ! Sijui kwa nn Ange hajamuanzisha Sarr, !
Kumbe kuna mda maji yakizidi unga mnapaki bus sio !
Timber alikuwa uchochoro sana Leo,,, ! Raya bonge la stopper
Achana nae huyo, Ameangalia mpira kwenye smuTimber alikuwa uchochoro??nadhani tumeangalia TV tofauti,naamini Timber amepiga ball la uhakika sana
Nimemshangaa sana,Timber kakaza sana hana umayaimayai,ni kazi kaziAchana nae huyo, Ameangalia mpira kwenye smu