Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ulitaka nikushike mkono, natayarisha ungo hapa kurudi Alaska haraka inavyowezekana, maana kuna kimbunga kinakuja huko juu khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Wacha fujo khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee nawachubiri wale wanoko waliokuwa wananichubiri toka jana .... ...

Kabisa mkuu ila chenga mmewala na goli mmepata,jitahidini sana ila mkicheza hivyo na Stoke City then mtafungwa nyingi maana wale wanatumia minguvi mingi na akili.......ila zaidi hongereni sana kwa ushindi wa leo......
 
Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mkuu tayari unaangalia mechi yetu ijayo ..... ..... vipi nyie mnategemea magoli ya matuta tena kwa Mancs na mpira mliocheza jana? Wacha ngebe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee habari ya Stoke tuachie wenyewe ..... . ..
 
Naona umefufuka leo chichi hatutegemei magoli ya matuta khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Nachikia
Peasant wote wamekimbia khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee

Nikija hapa mnasema nisije nibaki kule Darajani, nikibaki Darajani mnaanza oooh, jamaa kakimbia....nimejaa tele kule Darajani, hapa sikuona cha kucomment maana mechi yenu ilikuwa very boring, najuta kwanini sikuangalia Barcelona, talking of waste of time.
 
Naona umefufuka leo chichi hatutegemei magoli ya matuta khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Nachikia
Peas of ant wote wamekimbia khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee

Nimesahau kukupa hongera zako DQ! Shawcross and the gang wanatia timu Emirates jpili, jiandae.
 
Walcott sijui ana matatizo gani siku hizi..Huu ndo muda mzuri wa oxlade kupata namba.
 
Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mkuu tayari unaangalia mechi yetu ijayo ..... ..... vipi nyie mnategemea magoli ya matuta tena kwa Mancs na mpira mliocheza jana? Wacha ngebe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee habari ya Stoke tuachie wenyewe ..... . ..

Hahahahaa unajua sana kujitetea, Hamna mkuuu ila ndio huo ukweli, wale utaona tutavyowatandika wala hapo usijali, ila nyinyi ndio naangalia game yenu na Stoke sijui itakuwaje naamini hiyo siku utapotea hapa jukwaani kama leo ulipotea kimtindo,Zaidi sisi tunawapiga magoli hatusubirii matuta, hivi kwanza nikumbushe magoli ya matuta mara ya mwisho lini tumepata??ila kwa ile defence yenu yule mchezaji wa Stoke anaitwa WALTERS atawaliza tu najuwa!!
 
Hamna kitu pale mkuu zaidi ya kukimbia tu na mpira, kichwani bado hana akili ya mpira kama wenzake wakina chicharito,uliona goli alilowafunga Liver poor??
 
Khe khe kheeeee!
"0 - Plzen are only the 2nd team to fail to manage a shot in a CL game in the last five seasons (after Arsenal vs Barça in 10/11). Blank."
 
Hahahahaa unajua sana kujitetea, Hamna mkuuu ila ndio huo ukweli, wale utaona tutavyowatandika wala hapo usijali, ila nyinyi ndio naangalia game yenu na Stoke sijui itakuwaje naamini hiyo siku utapotea hapa jukwaani kama leo ulipotea kimtindo,Zaidi sisi tunawapiga magoli hatusubirii matuta, hivi kwanza nikumbushe magoli ya matuta mara ya mwisho lini tumepata??ila kwa ile defence yenu yule mchezaji wa Stoke anaitwa WALTERS atawaliza tu najuwa!!

Jana ..... .... ...... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee yaani mtashinda kwa mpirakama wa jana? Naona safari hii bahasha zimewahi lakini mwisho wa mwezi bado khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Sawa sawa mkuu wangu wala hamna tatizo, tusubirie tu tutaona.....lazima tutembeze kichapo pale nyumbani maana lazima ukumbuke tuna record hapa kwenye uwanja wetu.....
 
Habarini wana Gunners wenzangu,tupo pamoja wakuu.Tujipongeze kwa ushindi wa leo,na imani kabisa huo ni mwanzo tu,Hii ni baada ya wachezaji kuanza kuelewana vizuri.Japokuwa defence yetu bado haijakamilika lakini baada ya wiki mbili TV5 anarudi hapo ndo moto wake utashika kasi ya ajabu.
 
Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mkuu tayari unaangalia mechi yetu ijayo ..... ..... vipi nyie mnategemea magoli ya matuta tena kwa Mancs na mpira mliocheza jana? Wacha ngebe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee habari ya Stoke tuachie wenyewe ..... . ..
Mkuu wamepewa na Referee wao Mark clattenburg,J'pili tutashuhudia 12 against 11.
 
Kagoli kamoja safi, a clean sheet and one more win basi tunasonga mbele.
Sie mdogo mdogo mpaka tutafika, manguli wa kutuponda wacha waponde, sie mbele kwa mbele tu!
Ila Andrei Arshavin itabidi tu aondoke msimu ukiisha, aise, sikuamini macho yangu!
 
Sawa mkuu,hivyo hivyo.
 
Habarini wana Gunners wenzangu,tupo pamoja wakuu.Tujipongeze kwa ushindi wa leo,na imani kabisa huo ni mwanzo tu,Hii ni baada ya wachezaji kuanza kuelewana vizuri.Japokuwa defence yetu bado haijakamilika lakini baada ya wiki mbili TV5 anarudi hapo ndo moto wake utashika kasi ya ajabu.
Tuko pamoja mkuu.
 
Tuko pamoja wakuu, ushindi wa jana ni muhimu ukizingatia tumeshinda dakika za mwisho, kisaikolojia ni muhimu kwa sababu hatuna tabia ya kushinda dakika za majeruhi tofauti na akina Manda na Belo, muhimu sana kubadilisha mental attitude ya wachezaji wetu kupigania ushindi mpaka dakika ya mwisho.
Clean sheet pia imeongezea confidence kwa difensi yetu ukizingatia difensi yenyewe ilikuwa ya kuunga-unga kwa kweli inatia moyo.
Nakubaliana na jebs huyu Arshavin sijui kama mind yake ipo makini? Sote tunajua anacheza chini ya uwezo wake sijui kwa nini? Maana ingekuwa mechi moja tungesema ni bahati mbaya ila imekuwa ni kawaida yake! Nilimtegemea kuibeba timu ( baada ya kuondoka Cesc na Nasri) kwa kuchangia na zile killer passes na penentration ndani ya boksi, anao uwezo mkubwa kubadili mchezo ila kwa kweli anatuumiza vichwa.
Ushindi wa ugenini mechi za UEFA sio wa kubezwa, haijalishi mpinzani, ona ManU juzi wamesumbuliwa na katimu kadogo mpaka refa alipotonywa kwamba kuna bahasha ndio walau zimepatikana penalti:lol:. Khe khe khee.
 
Sawasawa "Kweli", na blues wamewaonea wale wabelgiji bure, naona walikuwa wamekula mno "Cheese"!

Mpaka Torres kafunga?!

Ila babu wetu naona sio mkali sana kwenye dressing room, kuna wapuuzi kama Arshavin na Rossicky, wangekua "Manure", sidhani kama wamekungua wanacheza hivyo au kucheka cheka kimzahamzaha kama vile!
 
Back
Top Bottom