Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Duh bwawa limeingia ruba
Tuko pamoja
Wenger inabidi afanye kazi ya ziada kuwafundisha vijana wake kudefend set pieces!Vijana leo wamecheza vizuri, ila hawa stoke hawaeleweki..
Kweli kabisa...Wenger inabidi afanye kazi ya ziada kuwafundisha vijana wake kudefend set pieces!
Naona jahazi la watani pale OT linazidi kuzama.......John Evans kalamba nyekundu.....lol
Jamaa wanatia huruma mpaka basi....Halafu wote wamekimbia jukwaa wamemuachia Papizo peke yake....Balotelli 2. United 0
you need a "van persie effect" to win the game1
Jamaa wanatia huruma mpaka basi....Halafu wote wamekimbia jukwaa wamemuachia Papizo peke yake....
"Why always Balotelli"?????