Teacher Arteta arranged the position very cleverly... Gabriel Martinelli was seated next to Mikel Merino on his Arsenal debut and Gabi probably understood that Merino cream was the solution to help him improve on the left wing this season.
️A one-on-one contesting machine and a ball-feeding specialist in the opposition third for Real Sociedad over the past few seasons.
️Mikel Merino will help Gabi to be less isolated on the left flank and make the most of Gabi's ability to escape with speed with effective through balls.
️At the same time, he also brings stability to Gabi on this wing, where he has had to constantly change partners since Xhaka left and Zinchenko no longer maintained his place in the starting lineup.
️Mikel Merino's arrival at the Emirates not only strengthens Arsenal's midfield but also raises hopes for Gabriel Martinelli's return this season...! 🫡AgreedNi kweli ila angalau huwa kuna uhai kwa baadhi ya maeneo mengine na wachezaji wengine.
System?ni kweli kuna muda ina collapse katika baadhi ya mechi na hapa ndo muda ubahitaji individual brilliance kupata matokeo na hiki ndo almost kinatunyima ubingwa kila mwaka.
Ode sio mbaya ila anatakiwa kustep up game yake hasa kwa position anayocheza na kwa majukumu yake kama captain
Hiko nimesema kuanzia Ramsdale anakuja, anakaa na sasa anaondokaDaah dunia haiko fair kabisa.
Hii inanikumbusha kauli ya CEO wa nokia siku wanauza kampuni kwa Microsoft
"We did nothing wrong"ila muda huo apple na sumsung washawatupa mbali
Kai, mrithi wa Thomas Muller, RAUMDEUTER.Huyu kai kila nikijaribu kutaka kumsifia moyoni mwangu nasikia kasauti kananiambia "acha unafiki"
No new thing ideasMimi bado nna maswali sana na perfomance ya orde kama RCM hasa kwenye mech ngumu na muhimu ambazo tunahitaji matokeo
Nafikiri hiki nachokiona uenda arteta au watu walio karibu nae watakuwa wanakiona.huyu mtu ni either aboreshe game yake kwenye game muhimu au atafutiwe mbadala



Huwezi kuona ufanisi wa Kai ukiiangalia attribute ya kufunga magoli tu....ila ukiiangalia tactics za kocha unaona kabisa brazameni Kai asipokuwepo mambo hayaendi kabisa🤠🤠Sio kwa huyu kiazi KAI, arteta anampendelea unaweza kusema ni mtoto wa mchepuko wake.
Nyny hata Arsenal wasipofanya mazoezi miezi mitatu halafu wakastukizwa wacheze na kile kigenge chenu bdo hamtakaa mshinde....mna kikundi cha vijana machachari na sio timu serious....Nakuhakikishia siku tukikutana na ninyi , huu uzi wenu mtaukimbia , tutawabonda kwa hasira na malipizi ya visasi makubwa .
Kile kipigo cha mbwa koko alichopata wolves kitawakumba na ninyi , kiufupi round hii hamtoki salama mkikutana na Chelsea
Lookman si ni Nelson anaepata game time tu.Adingira ni mzuri lakini Lookman ni mzuri zaidi kwangu mimi
Sio kama kuna maingizo mawili labda moja tu kwa muda huu uliobakiTimu inahitaji striker na winger hata mmoja, huyu martinelli simuamini..
Timu inaanzia kwenye mbinu za mwalimu kisha uwezo wachezaji mmoja mmoja, tulipofikia sasa tunahitaji ubora wa mchezaji kutubeba, tubahitaji striker wa uhakika na winger mmoja wa uhakika pia.
Mie nishalinganisha hayo mazuri yake na ubovu wake ndio nimekuja na jibu hatufai, tunahitaji namba 9 nyingine.Huwezi kuona ufanisi wa Kai ukiiangalia attribute ya kufunga magoli tu....ila ukiiangalia tactics za kocha unaona kabisa brazameni Kai asipokuwepo mambo hayaendi kabisa🤠🤠