Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

King Kai Kama kawaida yake
IMG-20240807-WA0023.jpg
 
️ Arteta clarifies: “Jurrien Timber had little discomfort in his foot the last few days”.

“After the time he has been out, we did not want to take any risks”, says.
IMG-20240808-WA0005.jpg
 
NIHESHIMU NIKUHESHIMU

Hiki ndicho alichokifanya HAVERTZ Jana dhidi ya LEVERKUSEN. Two assist na goli moja, na hakushangialia hata kidogo. Hiki inatokana na heshima aliyoonyeshwa na klabu pamoja na mashabiki wa LEVERKUSEN

Hali ilikuwa tofauti dhidi ya CHELSEA wakati tunawatwanga 5 hapo mjini EMIRATES. Alionekana kushangia sana katika goli mbili alizofunga, na zile tatu nyingine.

NIHESHIMU NIKUHESHIMU
20240808_105836.jpg
 
Arsenal are fielding offers from two Clubs for Thomas Partey. They are willing to leave Thomas go once their valuation is met !

Talks ongoing

#arsenalfanaticsnews
Wadau wanasema partey amekua mzito hasa kwenye ball recovery na interception
Lazima tukubali, mpira unaendana na umri. Ni muda mzuri Sasa wa kumuachia partey
 
USARA ZA GWIJI WA HIGHBURY

Nimeangalia Baadhi game za Pre Season za Arsenal Focus yangu ilikuwa Je kuna mabadiliko yapi yanafanyika kiufundi na Kimbinu kutoka kwa Kocha.

Nilichogundua Arteta Hajaondoka kwenye baadhi ya Mbinu zake kawahi kuzitumia kwenye game za Pre season karudia baadhi tactical set up.

Mfano FB kuinvert in Midfield mwishoni mwa msimu jana nafikiri asa baada kutoka Dubai tunaona Arteta alifanya tactical twerk badala kufanya Inverting ya FB akambadilishia Majukumu ode kuja kudanya build up kutokea Chini.

Alafu FB wa kushoto aendelee kucheza pembeni sababu pia alitafuta utimamu kiulinzi eneo ilo kitu Zin kinampa shida.

Hii ilikuwa tactical tweak pia, Kumfanya Rice kuwa more advanced akicheza LCM kitu ambacho ata mimi nilofikiri Arteta anahitaji zaidi kuendelea Nacho.

Lakini sasa Mfano Game jana Unaona Arteta akirudisha Inverting FB Role kutoka Zin ata alipoingia MLS aliendelea kufanya Hivyo hovyo.

Kumbuka Hapo Arsenal kuna baadhi wachezaji hawakuwepo Mfano Timber, Calafiori na Possibly Merino kama Akisajiliwa.

Kwa Misingi hii tutaendelea kuona mabadiliko kimbinu uwanjani kulingana na mpinzani.

Kitu Arteta anachokitafuta kwa sasa ni kutotabilika ( Unpredictable) ndio maana kakomaa kusajili wachezaji ambao wanampa Flexibility yani wanacheza nafasi Zaidi Moja uwanjani.

IMG-20240808-WA0007.jpg
 
Ninyi nyumbu ,
Wadau wanasema partey amekua mzito hasa kwenye ball recovery na interception
Lazima tukubali, mpira unaendana na umri. Ni muda mzuri Sasa wa kumuachia partey

Yaani msimu huu bado mmekomaa na vilema wenu wazee hao akina Joginho na partey kwenye mildfield , hivi mnajielewa kweli ninyi ?
Na mnataka mbebe Epl kwa kushindana na Liverpool ,city nk ,na kubeba UEFA kwa kushindana Madrid na magangwe wengine humo .
Na mpo hapa mnajipa matumaini bila aibu
Kweli Arsenyetoz mashabiki wake mna autism
 
NIHESHIMU NIKUHESHIMU

Hiki ndicho alichokifanya HAVERTZ Jana dhidi ya LEVERKUSEN. Two assist na goli moja, na hakushangialia hata kidogo. Hiki inatokana na heshima aliyoonyeshwa na klabu pamoja na mashabiki wa LEVERKUSEN

Hali ilikuwa tofauti dhidi ya CHELSEA wakati tunawatwanga 5 hapo mjini EMIRATES. Alionekana kushangia sana katika goli mbili alizofunga, na zile tatu nyingine.

NIHESHIMU NIKUHESHIMU
View attachment 3064407
Msimu huu mtazaa mawe mkikutana na sisi , msimu uliopita mlikutana na maiti na mkashangilia kupiga risasi maiti .
Na bila aibu mnajiona miamba.
Huyu kiwete wenu Harvetz mtamkataa msimu huu nakwambia , na mtabeba kibuyu cha ulanzi kama kombe .
Nasisitiza kombe mtakalobena Ninyi ni kibuyu cha ulanzi
 
kwani we shabiki wa timu gani?
 
🚨🔵⚪️ Understand Olympique Marseille have sent new bid to Arsenal for Eddie Nketiah!

Negotiations restart and Nketiah remains keen on the move to OM, attracted by the project.

OM happy to return in talks but they’d only advance at their conditions.

FABRIZIO

20240809_080159.jpg
 
Edu kakaza kwa Nketiah, mazungumzo yanaanzia ukileta offer ya angalau €30m. Hiki ni fair kabisa.

Kwa kipindi hiki ambacho Füllkrug wa miaka 31, West Ham wamelipa 30m.Omorodion hajafikisha hata mechi 100, marasta wamelipa 40m.
 
Wagonga nyundo wa London wame-hijack deal la Todibo kwenda Juve!!!!

Undava undava
 
Granit xhaka alikuwa mwalimu mzuri sana hawa vijana wawili ambao alikuwa anacheza nao upande wa kushoto wa uwanja! Ila baada kuondoka hawa wote wameshuka viwango na wamepoteza nafasi kwenye kikosi cha kwanza! Hii picha sasa ndio imeniambia kuwa xhaka alikuwa anawafanya hawa majamaa kupambana sana ule msimu wa 2022-23

Ujio wa MERINO nahisi na kuirudisha upya hii chemistry, Rice atakua 6, defensive

Kuacha kutegemea upande wa Saka kupata magoli huu upande inabidi urudi makali yake

IMG-20240809-WA0005.jpg
IMG-20240805-WA0014.jpg
 
Arsenal remain in active talks to complete Mikel Merino deal. Merino has agreed on personal terms with Arsenal, clubs keep working on deal structure/payment terms; fee over €25m.

Atlético and Barça, already informed of Merino’s desire to join Arsenal.

[Fabrizio Romano]
IMG-20240804-WA0021.jpg
 
Wadau wanasema partey amekua mzito hasa kwenye ball recovery na interception
Lazima tukubali, mpira unaendana na umri. Ni muda mzuri Sasa wa kumuachia partey
Ni sahihi kazi na umri, basi tubebe zubimendi aje kuziba nafasi ya partey.. Na merino dili libaki pale pale, kuna umuhimu wa kuwa na kikosi kipana chenye wachezaji bora. .
 
Back
Top Bottom