Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Edu kakaza kwa Nketiah, mazungumzo yanaanzia ukileta offer ya angalau €30m. Hiki ni fair kabisa.

Kwa kipindi hiki ambacho Füllkrug wa miaka 31, West Ham wamelipa 30m.Omorodion hajafikisha hata mechi 100, marasta wamelipa 40m.
Westham nao pesa zao wanajua kuzichezea hizi timu za midtable kuna sajili huwa wanafanya mpaka unawashangaa
 
| Arsenal have agreed a fee of £17million with Sociedad for the transfer of Mikel Merino.

[As Per, @ConMarbleHalls]
IMG-20240810-WA0001.jpg
 
Aston Villa wanataka kutuzoea, Arne slot na Liverpool wakae kwa kutulia, we are coming.
 
Wakuu msaada unahitajika, misimu yote hua naangalia ligi zote kwa Bein Tv Channels kupitia Yacineapp.
Leo Yacineapp imegoma kufunguka inataka nidownload upya, nikienda kwenye option ya kudownload na kuinstall setting zote ila nikifungua app bado wananiletea ujumbe wa kudownload.
1723290054814.jpg
 
Wakuu msaada unahitajika, misimu yote hua naangalia ligi zote kwa Bein Tv Channels kupitia Yacineapp.
Leo Yacineapp imegoma kufunguka inataka nidownload upya, nikienda kwenye option ya kudownload na kuinstall setting zote ila nikifungua app bado wananiletea ujumbe wa kudownload. View attachment 3066095
Mkuu na mm imeniletea huu ufala aisee....hivi hamna app nyingine ya kuchekia boli...maana Hawa waarabu wamekuwa wanaringa sana sikuhzi...jmni msaada baadae tuone namna Manunu wanavyodundwa
 
Ingia settings za hiyo app, nenda ka clear data zote. Jalib hili

Sent from my itel P32 using JamiiForums mobile app
 
Wanazingua sana, yaani wamesubiri mpaka siku ligi inakaribia kuanza ndio wanatuletea huu ufwala wao, yaani kwa hii alosto ya Epl tuliyonayo halafu wanatuletea maringo.
Hebu fatilia kama kuna uwezekano wa kupata App nyingine ya kuangalia mpira ukiipata usisaha kunijulisha.
 
Mkuu hivyo vyote nimefanya lakini hamna kitu, hawa waarabu wana ujinga mwingi sana, wanajua kabisa kipindi hiki alosto ya ligi ipo high halafu wao ndio wanatuletea maringo, yaani hawa wapuuzi hawana tofauti yoyote na wale mademu wanaoletaga maringo kipindi cha masika.
 
kwani we shabiki wa timu gani?
Mimi ni shabiki wa mabingwa pekee wa kombe la UEFA mara mbili London , mabingwa wa mwisho kubeba kombe la Epl london , mabingwa pekee kombe la club bingwa duniani pale London na club tajiri zaidi na yenye mtonyo wakutosha pale London
Mkikutana na Sisi msimu huu mtaimba haleluya
 
🤣🤣🤣...tuimbe haleluya kwa beki ya Disasi na Badiashile....yaani katika timu ambayo siihesabii msimu huu ni kile kigenge chenu cha wahuni....mmekusanya group la wachezaji machachari ila hawana ufanisi wwte
 
Wanazingua sana, yaani wamesubiri mpaka siku ligi inakaribia kuanza ndio wanatuletea huu ufwala wao, yaani kwa hii alosto ya Epl tuliyonayo halafu wanatuletea maringo.
Hebu fatilia kama kuna uwezekano wa kupata App nyingine ya kuangalia mpira ukiipata usisaha kunijulisha.
livesports 808 ndio nimetumia kuchekia game ya man utd vs city leo

ipo makini sana
 
Mimi ni shabiki wa mabingwa pekee wa kombe la UEFA mara mbili London , mabingwa wa mwisho kubeba kombe la Epl london , mabingwa pekee kombe la club bingwa duniani pale London na club tajiri zaidi na yenye mtonyo wakutosha pale London
Mkikutana na Sisi msimu huu mtaimba haleluya
Watoto wa darajani huwa mnasumbua sana kwa maneno.
Kusanyeni tena rundo la wacheza reggae,baadae muanze kumlaumu kocha.
 
Wakuu msaada unahitajika, misimu yote hua naangalia ligi zote kwa Bein Tv Channels kupitia Yacineapp.
Leo Yacineapp imegoma kufunguka inataka nidownload upya, nikienda kwenye option ya kudownload na kuinstall setting zote ila nikifungua app bado wananiletea ujumbe wa kudownload. View attachment 3066095
Tumia football Live TV hd
 
Mimi ni shabiki wa mabingwa pekee wa kombe la UEFA mara mbili London , mabingwa wa mwisho kubeba kombe la Epl london , mabingwa pekee kombe la club bingwa duniani pale London na club tajiri zaidi na yenye mtonyo wakutosha pale London
Mkikutana na Sisi msimu huu mtaimba haleluya
Kumbe timu yakina muha, chelwowo cheltako, mshalud default mode nyie,

Back
Top Bottom