Kwa hiyo ndoto yake ni kucheza Arsenal hahaha.....Arsenal the gunners[emoji91]View attachment 3048952
Kwa hiyo ndoto yake ni kucheza Arsenal hahaha.....Arsenal the gunners[emoji91]View attachment 3048952
Endeleeni Kusema jokes, adhani mnaona vyuma vinavyoshushwa. Msije kusema tunanunua mechi pale tembo akiwa juu ya mti[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aaahhhh wapi humu tunapendea comedies zenu tu, humu ndani kuna kila aina ya vichekesho, hili ni jukwaa pekee la michezo lenye vituko kuliko hata jukwaa la Jokes.
Ngoja niongee na Moderators kama vipi hili jukwaa liunganishwe tu na jukwaa la Jokes.
Shwari kabisa mzee baba, kazi ya lindo bila ya uwepo wa Epl hua hainogi kabisa, bora siku zinakaribia mchaka mchaka wa ligi uanze.
Yupo sehemu salama mkuu, project yetu inajiuza yenyeweKwa hiyo ndoto yake ni kucheza Arsenal hahaha.....
Story za project zinatakiwa ziishe maana toka Arteta afike yeye ni project tuu.Yupo sehemu salama mkuu, project yetu inajiuza yenyewe
Arteta ni tapeli, na hii misukule yake haijui.Story za project zinatakiwa ziishe maana toka Arteta afike yeye ni project tuu.
Not necessary, kuna LCB ambao ni carrier wazuri i.e Van dijk.KIMBINU ZAIDI NA KIUFUNDI NDANI YA TAFAKURI ZA YUSSUF WA EMIRATES KUHUSU UJIO WA YULE MKATILI WA KIRUMI KWENYE VIUNGA VYA EMIRATES
nadhani tupo kwenye zama ambazo kimbinu walimu wanahitaji zaidi (ball playing CB) yani walinzi wakati wenye uwezo wa kuuchezea zaidi mpira kwa ufanisi
"build up steps zinaanzia huko kwa goal keeping na backline"
lakini ikumbukwe kwamba izo positions ni partner ambayo inaundwa na (LCB+RCB) na wote ni ball playing CB sasa leo nitakujuza roles zao
"kwanza kuna aina mbili za ball playing CB"
*ball player
*ball carrier
BALL PLAYER: huyu ni beki wakati ambae kwenye hiyo partner hutumika upande wa kushoto (LCB) ambapo chunguza izo beki zikitanua kwenye pembe za box hapo kipa anatakiwa kumpa yeye mpira kutokana uwezo wake miguuni
"mara nyingi beki huyu anakua na controll za kutosha na akiamua guard mpira huchukui kirahisi na pia ni mwepesi wa create angle ku receive ball again"
BALL CARRIER: ball carrier huyu nae ni beki wa kati ambae kwenye iyo partner hukaa upande wa kulia (RCB)
View attachment 3051620
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu kwa huyo Tetea wenu project itaenda mpaka phase 10 kisha mtaanza ku countdown[emoji16][emoji16][emoji16]Story za project zinatakiwa ziishe maana toka Arteta afike yeye ni project tuu.
Msimu huu tunachukua invincible, pale Calafiori, pale Jurrien timber, kule Mid la kiespaniola, mpira utapigwa utadhani Cruyff kafufuka au Arrigo Sachi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu kwa huyo Tetea wenu project itaenda mpaka phase 10 kisha mtaanza ku countdown[emoji16][emoji16][emoji16]
Brazil ya 70 pale Mexico. 😄Msimu huu tunachukua invincible, pale Calafiori, pale Jurrien timber, kule Mid la kiespaniola, mpira utapigwa utadhani Cruyff kafufuka au Arrigo Sachi
Sisi ni taito kontenda msimu huu ,msitutanie kabisa , tutatembeza makonzi na mbata hamtaamini.Dirisha bdo lipo wazi mkuu....sajilini watu wa kueleweka aisee....mkizembea tena mwaka huu sio Tano mtakula Bali ni kumi...mnaona kama masihara nnachosema ila ntakuja kuwakumbusha siku hyo nilichowaambia leo
Mmeua mende kwa Gobole halafu mnajisifuKwasasa Nyumbu hawajawai kuwa nafuraha wakisikia the gunnersView attachment 3054785