Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ni kwli watani wetu....ila msimu ujao hatutaki ikifika January muanze kumtukana 10 hag tena...maana nyny hamna fadhila kabisa....mkifungwa mechi kumi tu mnaanza kutukana🤠🤠
Huyu bado tunaye sana tu.
Lengo letu tufurahi kama hivi mwisho wa msimu baada ya kuangalia haram football msimu mzimu.
Nyie mnafurahia sexy football ila mwisho wa msimu mnatia huruma.
 
Hili garasa lenu litakaa bench huko Euro. Kama Garasa kama upamecano anaanza mbele ya huyu mnaeamini kuwa ndio beki bora epl, jiulizeni mara mbili mbili. Tafuteni beki wa kueleweka.View attachment 3009175
Sasa ukikuta wenyewe wanavyomsifia utadhani akiwepo yeye arsenal huwa haipigiwi shot on goal hata moja au haijawahi kufungwa kabisa.
 
Ni kwli watani wetu....ila msimu ujao hatutaki ikifika January muanze kumtukana 10 hag tena...maana nyny hamna fadhila kabisa....mkifungwa mechi kumi tu mnaanza kutukana
@hamis77 amemtukana Ten Hag misimu miwili mfululizo kilichotokea kila msimu anakombe ameishia kuugua tumbo la kuhara na bawasiri mpaka kakimbia jukwaa.
 
Katika maisha haya yasiyotabirika nimejifunza saana umuhimu wa kuinjoi moments badala ya mwisho wa jambo.

Arsenal ni mashabiki pekee waliokuwa na furaha kwa msimu mzima.mwisho wa msimu ndo hatukufurahi kama tulivyotarajia and we are okay
 
Katika maisha haya yasiyotabirika nimejifunza saana umuhimu wa kuinjoi moments badala ya mwisho wa jambo.

Arsenal ni mashabiki pekee waliokuwa na furaha kwa msimu mzima.mwisho wa msimu ndo hatukufurahi kama tulivyotarajia and we are okay
Mkuu umenena la maana sana. Miaka miwili mfulilzo 85% ya msimu, tupo zetu na furaha mia mia. Wakati huo mashabiki wa timu pinzani wanapata maumivu mara mbili.

Moja, ya timu zao kuboronga, mbili ya Arsenal kufanya vizuri. Ndo maana unawaoma wanajaa humu muda wote, kupunguza msongo wao wa mawazo kwetu.

Mfano, sasa hivi, ligi zimeisha, sisi Arsenal wenyewe tushasahau ya msimu ulopita, lakini wao sasa.

Tupo zetu tunasikilizia anakuja nani kati ha Sesko, Gyokeres au Osimnhen huku tunakunja nne.


 
Wale wazee wa kusaga sumu njooni basi mchangamshe jukwaaa.
Huu ndio muda pekee mnaweza ingia hapa kwa ujasiri na mkaongea chochote.ligi ikianza ni mwendo wa haya maneno
Sexy football
Invert
Overload
Press
Na mengine kibao,ila wenyewe tunafurahia timu yetu bila shida

Tumieni muda wenu vizuri
 
haki ya mama nikipitia hivi vichekesho mimi naisha🤣🤣🤣🤣
 
hamis77 ukamatwe na unyongwe sio kwa izi mambo hafu umewakimbia wenzio🤣🤣🤣 mimi naisha kabisa 😁 🤭
 
Hiyo bawasiri uliyopata kwa kukosa ubingwa wa ligi umepona ?
 
Yaani kupitia michango ya watu humu wala hipati shida kujua jamii tuliyonayo ni ya aina gani
 
Wadau kwema?
Muda wa spana sasa.njooni muendelee na kazi yenu maana kwsasa tuna majukumu baada ya ligi kuisha.please take your time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…