Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hello gooners, it is new week, new energy and new thoughts... i assume everyone of us is quite fine as i'm writing this...

In as much as we might be considerably disappointed with how the season ended, but i personally see this was our most impressive seasons since 2004.

Put aside all the sentiments,disgruntlements and wails that are obviously orchestrated by title missing in a more distressiful manner than anyone could expect... there are a lot of beautiful things our boys did that we can still be proud of.

It is the first time for the last 19 years we haven't lost even single game against the so called big six, the feat even the so called genius Pep has never smelled despite his tremendous success....

It is the first in our history we have denied our oponents to hit our nets in 18 games, mind you we denied kipara twice in those 18 games, this alone can testify the exceptionally solid defence we had.

We have been title contender for two consecutive seasons something that had been forgotten for more than a decade, when i look back few years ago and trying to recall some popular pundits predictions about Arsenal's highest achievement in the league, we were absolutely laughable stock, but today the same pundits give us so much respect and Michael Owen is precise example.

The fact that we were not just a participant like the rest of 18 teams, we actually went toe to toe with the biggest spender in history until the final minute of the season is enough to make us be one the best team in this modern era.

Kwa hiyo kama kuna mtu anaona hakuna kizuri tulichofanya, basi nmshauri atafute timu nyingine inakayompa guarantee ya kikombe kila msimu
Nature hakuna anayeiombea Timu ya mwenzake ishinde chochote.

Hivyo kama unawalaumu washabiki wanaoiombea Arsenal isishinde Chochote basi hapa umekosea njia kashabikie Rede.
Hujanielewa... kuipondea timu fulani usioipenda na kuimbea mabaya hilo ni suala ambalo lipo kwa kila mtu wala halizuiliwi hata kidogo.

Sasa kuna ile mtu yaani yeye hana muda na timu yake, yaani yeye yuko bize na timu anayoichukia tu basi... sasa huyo ni shabiki wa mpira au ni sadist wa mpira?

Maana tunavyojua, mbali tu na kombeana mabaya, ila furaha ya kweli ya mpira inaletwa na mafanikio ya timu unayoipenda na sio kushindwa kwa timu usioipenda.
 
City ana Rodri nyie mlitaka mbebe epl na Partey akiumia cover yake ni jorginho nyie ni zaidi ya ze comedi show
City ana Rodri nyie mlitaka mbebe epl na Partey akiumia cover yake ni jorginho nyie ni zaidi ya ze comedi show
Mbona wewe umeshindwa kuchukua ubingwa au hata kuukaribia licha ya usajili makini ulioufanya hiyo sehemu ya midfield???

Nyie si ndio mlikuwa mn asema eti mnafagia vikombe vyote mnavyoshiriki hili mme send off ya kihistoria bwana Klop?

Nini kiliwakuta na zile tambo zote mlizokuwa nazo wakati mko pale juu?
 
Sawa ni mpira ila fikiria kwa makini, man City anautaka ubingwa alafu kuna kenge zikaamini kabisa anaweza fugwa tena mechi ya mwisho ya kuamua ubingwa. Kuna mambo hayaitaji uhangaike katika kufikiri
 
Kuna bonge la striker aka kipipa pale Italy Anaitwa Lukaku na mwingine beki kilaza mzee wa kulamba mshahara wa bure tu anaitwa Malang Sarr inabidi tuwauzie ili mboreshe hicho kikundi chenu cha wacheza ngoma
 
Kuna bonge la striker aka kipipa pale Italy Anaitwa Lukaku na mwingine beki kilaza mzee wa kulamba mshahara wa bure tu anaitwa Malang Sarr inabidi tuwauzie ili mboreshe hicho kikundi chenu cha wacheza ngoma
Hao wakija kwetu watakuwa wakali mpaka mtajuta kutupa
 
Yani we haukauki kwa maneno, unaendelea kuwasagia Kunguni hawa watu, daaaaaaah kwa vile ulivyoandika hapo mwisho nimecheka sana.
 
Jumamosi ya bahati kwenu si mbali. Hebu tuone kama mtaingia ulaya.
 
Top haina maana , kitu chenye maana ni EPL trophy.
Haupo sahihi kusema Newcastle inashuka halafu Arsenal inapanda kwasababu Newcastle ndo kwanza tupo second season baada ya team kupewa matajiri ila arsenal mwaka wa 21 huu hakuna chochote mmefanya mnakuwa mmepanda vipi? Lengi ni trophy nanyi hamna.
 
We jamaa upo kumbe
nipo mkuu vipi false hopes bado zinaendelea mwaka wa 20 huu kila siku mwakani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ivi unajua ukisimama na dogo wa la saba bado atakuona ww n mdgo sana kimpira kwasababu tu yeye ni city fans amekuzidi makombe ya epl .
Foden ana makombe 6 na bado ana miaka 23 , wewe toka wanacheza kina pascal cygan na laurent maya na mwanangu senderof bado huna kombe sasa tofauti yenu na burnley nini πŸ˜‚πŸ˜‚
 
maboresho gani ya kikosi unataka wewe?? Umekosa kombe kutokana na maboresho ya kikosi au umekosa kombe kisa wewe una mentality ya loser .
Future for more than 20 years hio sio future amka usingizini false hoper
 
Neno biggest spender in History ni uongo mkubwa united has spend more than city for 10 past years ,miaka mingine chelsea imeisidi city mbali,sio kila kitu cha ku copy na paste
 

Kwa hiyo katika hiyo miaka 21, yote Arsenal imekuwa ikimilikiwa na Kroenke?

Na kabla ya hapo Arsenal ilikuwa haijahama kutoka kwenye stadium moja hadi ingine kwa kutumia pesa zake yenyewe na si za mfadhili mmoja?

Kipindi hicho Arsenal imekuwa haina deni la kulipa la hiyo stadium na ukiacha ubingwa tu, haikuwa ikitegemea top 4 qualification ili ipate pesa ya kulipa deni na kujiendesha?

Ni kweli kuna makosa mengi sana Arsenal ilifanya katika jitihada zake za upambanaji, mfano kupiga dili za sponsorship za hela ndogo ukilinganisha na wenzake kama kina Man Utd, scouting ya wachezaji bora, viongozi wahuni, nk. Matokeo ya makosa hayo yalionekana kwa Arsenal kushuka mpaka kuanza kukosa kabisa champions league.

Ila je huoni kwamba baada ya Wenger kuondoka Arsenal imefanya juhudi za dhati za kurejea juu? Huoni kwamba sasa kwa misimu miwili mfululizo tumegombania kombe? Huoni kwamba kwa misimi 4 au mitano sasa tumetoka kwenye kumaliza kwenye nafasi ya hovyo mpaka bora huku tukiongeza points msimu hadi msimu?

Ukisema 'hakuna kitu ndani ya miaka 21', sielewi wewe unatazamaje mafanikio ama progress. Mwaka huu tumefika points nyingi zaidi tulizowahi kushika na bado hatujashinda ligi. Hiyo si progress? Mwaka huu Kipara kashinda ligi na points 91, nadhani kuna mwaka ameshinda na points 101. Points 10 chini zaidi. Je hiyo ni progress?

Najua mambo mengine ni ushabiki tu na tunapenda sana yawe hivyo, ila watu wanabidi wachunge sana attitude za mafanikio kwa maono yako wasiyapeleke kwenye maisha yao maana mtu unaweza kushindwa kujua wapi unasonga na wapi unarudi nyuma.

Enzi za shule niliwahi kuongoza darasa na average ya 76%. Nyumbani full shangwe ila mimi niliuchuna sikusherekea. Sababu ilikuwa ni muhula uliopita nilikuwa na average ya 86% ila nilikuwa wa nne (niliingia top 4 ila bingwa alikuwa mwingine). Enzi hizo pass mark yangu binafsi ni 80, bila kujali wanafunzi wengine wamefaulu vipi, nikipata chini ya hapo naona nimefeli. Nikipata hapo na zaidi naona nimeelewa material.

Arteta na Arsenal nawaangalia kwa jicho la hivyo pia. Naponda sana ila pia naona tofauti kutoka tulipoporomoka mazima na sasa naona tumepanda na tunapanda.

Mnatuita false hopers kwa sababu tunataka ubingwa? Sasa kwani ni nini tunapambania? Si ubingwa? Hamtaki tuseme kuwa tunautaka huo ubingwa? Mnafikiri tunatosheka na top 4 siku hizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…