False hopers mpo katika kilele cha furaha ya FALSE HOPE . Mnatamba wenyewe tu humu tutawaeleza nini wakati mnaongoza ligi 😂.
Lakini muda ndo umeanza kufika kuelewa ni kwanini mnaitwa False hopers.
10 games to go !!!!
Nilimiss sana jukwaa hili la vituko na kila aina ya hopes hatimaye nimerudi lakini sina cha kuongea maana mpo katika peak of false hopes nitaeleza nini mnielewe , siku zinavyokwenda tutapata cha kuwaeleza