Msimu umeisha sasa njoo uniambie RICE Amekupa kombe gani.Hasira zote hizi sababu Rice anakuja Arsenal?
Mbona utaumia zaidi Sasa
Hawana tofauti na Maids wanasindikiza mwingine anaoa.Wao kazi yao ni kusindikiza kila kikombe ππππ
Wacha weeeπ€£π€£π€£π€£π€£Ile tabia ya kushinda goli tano mechi ya mwisho ya msimu leo ndiyo leo
Fukua, fukuaa mzeee fukuaaaaaaππππππ
Harvert atajuta kukimbilia hii takataka arse8, karia yake ya mupira ndo imeisha hivyo. Kumbu kumbu yake kubwa kwenye maisha ya soka itabaki Chelsea tu.πππ
Hapa tuwapendelee huyu ni muchezaji bana ..ni kiongozi muzuri uwanjani ..Hivi wakiitwa wachezaji Odegaard nae anaenda?
ππππππππCONGRATULATIONS ARSENAL FC. View attachment 2994393
Wamepamba na uwanja etiHawana tofauti na Maids wanasindikiza mwingine anaoa.
Hahahahahaha daaah aise hii bonge la dharauππππWe mpaka Madrid anakubali kukuuzia mchezaji? Hujiulizi.
Mtu akikwambia unaakili kama za Mashabiki wa Arsenal, aisee rusha ngumi.
Watu Wana roho mbaya aise ..wanawabebesha wahuni magesi yakiwalipukia sasa ππππ
Huyu walimuonea tu ..nimelia sanaπππUnai Emery anawasalimia.