IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,811
- 7,277
Sasa unalialia nini mambo ya kawaida haya. Steven Gerrard aliwai kumpa pasi drogba ili Chelsea wasinde na united wakose ubingwa.Nilikua naangalia press conference ya Ange baada ya mechi jamaa anaonekana amekasirika vibaya mno. Anaongelea juu ya misingi ndani ya timu kua legelege akaulizwa hilo swala kaona nje ya timu au ndani ya timu akajibu kote.
This means Ange focus yake ni ushindi ila timu haina huo utamaduni, kwao mafanikio ya msimu ni kumaliza juu ya Arsenal au Arsenal asipochukua ubingwa. Makocha wawili waliopita Jose na Conte wote waliongelea hilo swala kwamba "Timu haina winning mentality"
Conte alienda mbali akasema labda hii ni historia ya Tottenham. Lakini hili swala la misingi Jose alilisema akiwa na nyumbu pia, mwingine aliyeongelea misingi ya nyumbu ni Zlatan, Pogba na Cristiano.
Kama Bongo, mafanikio ya Simba ni Yanga asishinde kitu bila kujali kama yeye hatoshinda pia and vice versa. Conte alifukuzwa kwa hili alilofanya Ange, so tusubiri kuona ikiwa Tottenham wataona aibu na kujirudi au watamfungashia virago Ange.
Loser mentality zipo kwa midtable teams mara nyingi, atafurahia kusuluhu au usipomfunga magoli mengi. Wewe upo ulimwengu mwingine kabisa yeye yupo busy kufuatilia unacheza na nani next game. Atatoa ubashiri pale, haitakua anavyotaka. Atakunywa K Vant kutuliza hasira, atajichua kidogo. Kisha anarudi tena kuleta ubashiri mpya au kuandika utumbo mpya.
Lolote litakalomjia kichwani muda huo.
Everton waliwahi kumuuzia mechi Guardiola ili Liverpool tusiwe mabingwa. Nyie mlitegemea kabisa mchukue ubingwa kwa msaada wa spazi mnaowatukana kila siku??